Mwanza: Yaliyojiri Mkutano wa Hadhara wa CHADEMA baada ya kuondolewa zuio la mikutano

Mwanza: Yaliyojiri Mkutano wa Hadhara wa CHADEMA baada ya kuondolewa zuio la mikutano

Nilileta taarifa jana kuhusu kinachoendelea huko, Mimi nipo hapa na kusema ukweli hali ni Tete. Watu Hakuna kabisa. Nini kimetokea??
Picha nimepiga mwenyewe sasa hivi saa 9 kamili
View attachment 2490119
We bado ni mjima sana,hata waje watu kumi,ujumbe utaupata tu kupitia mitandao,hii ni dunia ya kifijitali
 
Mbona Lissu alipopigwa risasi mlishangilia in fact mwenyekiti wenu UVCCM alisema this time watatumia sindano sio bunduki?? Chuki mmeleta wenyewe Wacha wafurahie maana hakuna namna. Mwisho wa siku jamaa yupo kuzimu na kina Mbowe wanakula Bata so hata ulie lie hauwapunguzii chochote.

Ndiyo wanasherehekea, faida ipi wanapata sasa, matokeo yake wamewatenga na kuwabagua wasukuma kwenye chama chao??

Na uelewe wewe pimbi wa chadema, nilichoandika hapo kinaakisi yote hata kumhusu Lissu

Hauwezi kufurahia mabaya yampatapo binadamu mwenzako, itakuwa tu wewe ni mpumbavu
 
Magufuli will always be in his people’s hearts.. chadema labda mkaoge baharini chiu. Hamna mtaji tena kwanza mmekaa kitapeli tapeli. Na bado wananchi wawasusie hivyo hivyo
 
Ndiyo wanasherehekea, faida ipi wanapata sasa, matokeo yake wamewatenga na kuwabagua wasukuma kwenye chama chao??

Na uelewe wewe pimbi wa chadema, nilichoandika hapo kinaakisi yote hata kumhusu Lissu

Hauwezi kufurahia mabaya yampatapo binadamu mwenzako, itakuwa tu wewe ni mpumbavu
Magufuli? Lazima tufurahie like dubwana kufa, Kila tarehe 17/3 nachinja mbuzi
 
That is JPM effect na halli itaendelea kuwa mbaya zaidi. Kwa sasa wananchi wanashauku ya kumsikia mtu atayenena na kutenda kama Magufuli na yeyote atakayejaribu kumsema vibaya JPM wananchi wataampuuza maana ukweli wanaujua.
Kwa hiyo wanamuunga mkono Samia sio?
 
Screenshots_2023-01-21-14-57-19.jpg
 
Laana haijawahi kumuacha mtu salama. Mtu mstaarabu hawezi furahia kifo cha mtu yyt yule. Na watu wastaarabu ndio wanasikilizwa
Unaamini picha za asubuhi? Nipo hapa uwanjani na nitatuma picha hivi punde
 
Back
Top Bottom