mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
We bado ni mjima sana,hata waje watu kumi,ujumbe utaupata tu kupitia mitandao,hii ni dunia ya kifijitaliNilileta taarifa jana kuhusu kinachoendelea huko, Mimi nipo hapa na kusema ukweli hali ni Tete. Watu Hakuna kabisa. Nini kimetokea??
Picha nimepiga mwenyewe sasa hivi saa 9 kamili
View attachment 2490119