Mwanzo dot org na Shangazi Power project wanapokea fedha kutokaFord Foundation

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,468
Reaction score
31,952
Nimejaribu kutafuta facts baada ya kuona kuna barua za mtandaoni zikionesha Wanaharakati wanavyopokea fedha kuharibu amani nchini.

nilichokutana nacho ni hiki hapa chini....Inatisha sana.....



For support for the Shangazi Power project for strategic communication work and documentary production to promote knowledge of and the work of women activists in East Africa​

Grantee​

Mwanzo Dot Org
More about this grantee
Total Amount$400,000Grant approval$200,000 – August 2022Grant increase$200,000 – April 2024Approval dateAugust 2022Start dateAugust 2022End dateAugust 2026Grant typeRegularTopicsArts, culture and media
Civic participationBenefiting locationsKenya
Tanzania
Uganda

Program​


Funding office​


©2025 Ford Foundation,
some rights reserved
 
Na wewe pokea ,nani amekukataza ,pumbavu
 
Mbona serikali inapokea donation kila mwaka na hakuna anayejali?

These non-commercial activities needs funding and our government does not care regardless of their benefit to humanity.
Build your case as well to receive such fundings
 
Who cares unaumia sana kende zangu kukaa bure? Tatizo vyoo sizibui
Endeleeni kua wajinga ..tarehe mpya ya maandamano lini? Ili watu wazidi kupiga billions ...nyinyi huku mkibaki mafukara
 
Mlivyo kuwa wajinga mtu akiwasoma anaweza kujua aliyotoa uzi ni mtu mwengine.Yani mna account kila mitandao ya kijamii mada moja inatumika kote.
 
Hawa jamaa bana Kwa hiyo kufundisha watu elimu ya uraia na kuwaamsha wanapoonewa ni vibaya. Mnabaki kupinga tu?! Kwani wapi wamefanya vibaya wanaandika proposals nzuri , wanaelezea watafanya nini .

Kwani wananchi hawajatekwa?
Wananchi hawajauwawa?
Wananchi hawaundiwa tume feki ya uchaguzi eti Ina jina huru?

ACHENI NCHI IWEZE KUKOMBOLEWA
 
Weka proposal zao tuzione
 
Kwahio hizo pesa ndio zilinunua SMG za kuwapiga raia risasi na kabla ya hapo ndio zilifadhili utekaji ? Haya matatizo watu wamekuwa wakipiga kelele wakati moshi bado unafuka na sio huu moto watu mkajiita viziwi; na sasa cheche zimewaka watu mnataka kuweka petroli ya udini
 
Kila anayefanya kazi anapata ujira so ulitaka wapate wapi? Hata kama wamelipwa, wewe hapo unahesabu posts hapa unaenda lumumba kukinga sisiemuni! So hamna hoja hapa
mkongwe mbona kama una hasira hivi? mada hapa ni fact check maana kule insta kuna ubishi kwamba sio kweli ila hapa kwa GTs tunawekeana facts.
 
Shangazi Power Project!
na mnajua kuchagua vionjo vya maneno kwelikweli
 
Endeleeni kua wajinga ..tarehe mpya ya maandamano lini? Ili watu wazidi kupiga billions ...nyinyi huku mkibaki mafukara

Kwani abdu na rostum wanapiga ngapi? kachukue mgao lumumba kule...
 
Shangazi Power Project!
na mnajua kuchagua vionjo vya maneno kwelikweli
Mimi hayo hayanihusu kama mnajua hayo na inteligensia serikali walikuwa nayo kwanini wasimfungulie mashitaka na hata kuwashitaki hao Ford ? Au Sababu Mataifa ya Nje yanatoa misaada ya kuja kusaidia nchi na watawala / walamba asali wanafuja na kuishi kama wafalme na magari mapya tulaumu watoa misaada ?

Narudia tena hao Ford ndio walipiga watu risasi na walifanya utekaji ? Hao Ford ndio waliwashawishi Chama tawala watembeze mabango nchi nzima na kuonyesha ufujaji wakati kwenye utekelezaji wa kazi waliyopewa na kodi wanazochukua ni sifuri ?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…