Pulchra Animo
Platinum Member
- Jun 16, 2016
- 8,620
- 15,134
Hivi watu wengine vichwa vyenu vina ubongo kweli? Amani bila haki is mission impossible!Nimejaribu kutafuta facts baada ya kuona kuna barua za mtandaoni zikionesha Wanaharakati wanavyopokea fedha kuharibu amani nchini.
nilichokutana nacho ni hiki hapa chini....Inatisha sana.....
For support for the Shangazi Power project for strategic communication work and documentary production to promote knowledge of and the work of women activists in East Africa
Grantee
Mwanzo Dot Org
More about this grantee
Total Amount$400,000Grant approval$200,000 – August 2022Grant increase$200,000 – April 2024Approval dateAugust 2022Start dateAugust 2022End dateAugust 2026Grant typeRegularTopicsArts, culture and media
Civic participationBenefiting locationsKenya
Tanzania
Uganda
Program
Funding office
©2025 Ford Foundation,
some rights reserved
Wanaoharibu amani ni Samia The Killer na majambazi wenzake. Wanaharibu amani kwa kuteka, kutesa na/au kuua raia; kuwanyima Watanzania haki ya kuchagua viongozi wanaowataka au kugombea nafasi za uongozi; na kutumia raslimali za taifa kujinufaisha zaidi wao na mtandao wao (kundi dogo)!