Mwanzo dot org na Shangazi Power project wanapokea fedha kutokaFord Foundation

mkongwe mbona kama una hasira hivi? mada hapa ni fact check maana kule insta kuna ubishi kwamba sio kweli ila hapa kwa GTs tunawekeana facts.

Sijabisha nimesema kama wamelipwa wanastahili na tena ni chache tu hizo, abdu analipwa kwa kuwa mwana wa malkia tu sasa hawa wamama kazi yote wanayofanya watalipwa na nani?

Acha wajihudumie tu kwa kazi takatifu wanayoifanya kijana! Kila anayefanya kazi lazima apate ujira, asiyefanya kazi na asile, uzuri hawajaiba!
 
Uzuri hakuna mtz mjinga , mtalikolaga na kulinywa wenyewe
Kwani wale waliodanganywa na Maria na Mange kuwa JWTZ wako pamoja na wahuni kupindua serikali badala yake wakapigwa risasi za kichwa tarehe 29 Oct 2025 siyo wajinga mkuu?
 
Hivi Jamiiforums imeshashuka viwango hadi hata hoja za kijinga za huu utoto unaowekwa mitandaoni na vijana wa UVCCM kama propaganda mfu unaruhusiwa kutujazia saver zetu?
Huu ni upumbavu na kudhalilisha jukwaa, yaani kuteka mteke nyie, kuvunja katiba nyie, wizi nyie na kuua ni nyie halafu wasemao wanalupwa na walewale wanao wapa fedha za misaada na kuandika nyaraka za kiingereza cha Tandale?
Mnatuonaje nyie? Who are you?
 
Eti so what...we umekalisha makende mjini hapa unaambiwa ukaandamane huku wengine wako states washapokea mpunga ..blood money ..
Mbona serikali inapokea pesa za misaada na inanunua siraha nzitonzito kuuwa raia wake, kuwateka na kuwaf..ra( Oct 29-..),acha na wao wapokee tu.
 
Nimejaribu kutafuta facts baada ya kuona kuna barua za mtandaoni zikionesha Wanaharakati wanavyopokea fedha kuharibu amani nchini.

nilichokutana nacho ni hiki hapa chini....Inatisha sana.....

Ford Foundation logomark

For support for the Shangazi Power project for strategic communication work and documentary production to promote knowledge of and the work of women activists in East Africa​

Grantee​

Mwanzo Dot Org
More about this grantee
Total Amount$400,000Grant approval$200,000 – August 2022Grant increase$200,000 – April 2024Approval dateAugust 2022Start dateAugust 2022End dateAugust 2026Grant typeRegularTopicsArts, culture and media
Civic participationBenefiting locationsKenya
Tanzania
Uganda

Program​

Funding office​

©2025 Ford Foundation,
some rights reserved
Tufanye ni kweli kabisa wanalipwa lakini wanachokisema ni uongo? Hamteki na kuua watu? Mngeacha mambo yenu maovu wangesimama na point ipi?
 
Mbona serikali inapokea pesa za misaada na inanunua siraha nzitonzito kuuwa raia wake, kuwateka na kuwaf..ra( Oct 29-..),acha na wao wapokee tu.
Kwaio Ngoma droo ..mnaoumia ni wananchi mafukara mnaoambiwa muandamane 😂😂😂😂🤧
 
Nimejaribu kutafuta facts baada ya kuona kuna barua za mtandaoni zikionesha Wanaharakati wanavyopokea fedha kuharibu amani nchini.

nilichokutana nacho ni hiki hapa chini....Inatisha sana.....

Ford Foundation logomark

For support for the Shangazi Power project for strategic communication work and documentary production to promote knowledge of and the work of women activists in East Africa​

Grantee​

Mwanzo Dot Org
More about this grantee
Total Amount$400,000Grant approval$200,000 – August 2022Grant increase$200,000 – April 2024Approval dateAugust 2022Start dateAugust 2022End dateAugust 2026Grant typeRegularTopicsArts, culture and media
Civic participationBenefiting locationsKenya
Tanzania
Uganda

Program​

Funding office​

©2025 Ford Foundation,
some rights reserved
Na wewe andaa pendekezo kwenda Ford Foundation ,wakiridhia unavuta Mpunga.
 
Kwahio hizo pesa ndio zilinunua SMG za kuwapiga raia risasi na kabla ya hapo ndio zilifadhili utekaji ? Haya matatizo watu wamekuwa wakipiga kelele wakati moshi bado unafuka na sio huu moto watu mkajiita viziwi; na sasa cheche zimewaka watu mnataka kuweka petroli ya udini
Shangazi Power Project!
na mnajua kuchagua vionjo vya maneno kwr
Hivi Jamiiforums imeshashuka viwango hadi hata hoja za kijinga za huu utoto unaowekwa mitandaoni na vijana wa UVCCM kama propaganda mfu unaruhusiwa kutujazia saver zetu?
Huu ni upumbavu na kudhalilisha jukwaa, yaani kuteka mteke nyie, kuvunja katiba nyie, wizi nyie na kuua ni nyie halafu wasemao wanalupwa na walewale wanao wapa fedha za misaada na kuandika nyaraka za kiingereza cha Tandale?
Mnatuonaje nyie? Who are you?
Hii ni fact achana na propaganda
 
Nimejaribu kutafuta facts baada ya kuona kuna barua za mtandaoni zikionesha Wanaharakati wanavyopokea fedha kuharibu amani nchini.

nilichokutana nacho ni hiki hapa chini....Inatisha sana.....

Ford Foundation logomark

For support for the Shangazi Power project for strategic communication work and documentary production to promote knowledge of and the work of women activists in East Africa​

Grantee​

Mwanzo Dot Org
More about this grantee
Total Amount$400,000Grant approval$200,000 – August 2022Grant increase$200,000 – April 2024Approval dateAugust 2022Start dateAugust 2022End dateAugust 2026Grant typeRegularTopicsArts, culture and media
Civic participationBenefiting locationsKenya
Tanzania
Uganda

Program​

Funding office​

©2025 Ford Foundation,
some rights reserved
Inajulikana toka mda
 
Halafu bado kibwagizo cha eti wanaeneza "ushoga na usagaji" ndio karate yenu wana mbogamboga!
Mbona huko kwenu ndio kila siku sifa hiyo imeenea tena mpaka viongozi wakuu wenu wanatajwa na kujitaja?
Jee Hao wanaharakati ndio wanapewa hela kuwa sagisha na kuwa fir..isha?
Tabia yenu hiyo mbaya inatajwa kuwa hata wabaya wenu mkiwateka mnaona kufira kama stahili ya kuwafanyia ili kuwadhalilisha? Ona mnakamata hata raia wa nje nao mnawafanyia hayo na wanatangaza nchi yetu kuwa primitive kiasi cha kudhani kuchokonoa kinyesi ni ujanja
 
Mwandiko huu sio wa kibongo ...vipi habari ya Lamu au mombasa
 
Kwaio Ngoma droo ..mnaoumia ni wananchi mafukara mnaoambiwa muandamane 😂😂😂😂🤧
Usidhani hawaumii mkuu, siku mtu utasikia kajiua tu. Mkapa alishasema alijutia mauaji aliyoyafanya kipindi cha utawala wake.Si lazima uone wameumia kwa kuharibiwa vyeo vyao,mali zao au familia zao.Wengi wanaumia kisaikolojia na huyajutia mabaya yote waliyoyatenda wakati wa madaraka yao. Maumivu ya hivyo huwatesa maisha yao yote.
 
Back
Top Bottom