mkongwe mbona kama una hasira hivi? mada hapa ni fact check maana kule insta kuna ubishi kwamba sio kweli ila hapa kwa GTs tunawekeana facts.
Kwani wale waliodanganywa na Maria na Mange kuwa JWTZ wako pamoja na wahuni kupindua serikali badala yake wakapigwa risasi za kichwa tarehe 29 Oct 2025 siyo wajinga mkuu?Uzuri hakuna mtz mjinga , mtalikolaga na kulinywa wenyewe
Naenda ...na wewe ingia road kaandamaneππ€§Kwani abdu na rostum wanapiga ngapi? kachukue mgao lumumba kule...
Naenda ...na wewe ingia road kaandamaneππ€§
Mbona serikali inapokea pesa za misaada na inanunua siraha nzitonzito kuuwa raia wake, kuwateka na kuwaf..ra( Oct 29-..),acha na wao wapokee tu.Eti so what...we umekalisha makende mjini hapa unaambiwa ukaandamane huku wengine wako states washapokea mpunga ..blood money ..
Tufanye ni kweli kabisa wanalipwa lakini wanachokisema ni uongo? Hamteki na kuua watu? Mngeacha mambo yenu maovu wangesimama na point ipi?Nimejaribu kutafuta facts baada ya kuona kuna barua za mtandaoni zikionesha Wanaharakati wanavyopokea fedha kuharibu amani nchini.
nilichokutana nacho ni hiki hapa chini....Inatisha sana.....
For support for the Shangazi Power project for strategic communication work and documentary production to promote knowledge of and the work of women activists in East Africa
Grantee
Mwanzo Dot Org
More about this grantee
Total Amount$400,000Grant approval$200,000 β August 2022Grant increase$200,000 β April 2024Approval dateAugust 2022Start dateAugust 2022End dateAugust 2026Grant typeRegularTopicsArts, culture and media
Civic participationBenefiting locationsKenya
Tanzania
Uganda
Program
Funding office
Β©2025 Ford Foundation,
some rights reserved
Kwaio Ngoma droo ..mnaoumia ni wananchi mafukara mnaoambiwa muandamane πππππ€§Mbona serikali inapokea pesa za misaada na inanunua siraha nzitonzito kuuwa raia wake, kuwateka na kuwaf..ra( Oct 29-..),acha na wao wapokee tu.
Ingia road kaandamaneOut of context, hoja yako ni nini? Vijana mnasomea ujinga miaka hii? Ndo mana mnafeli sana
Na wewe andaa pendekezo kwenda Ford Foundation ,wakiridhia unavuta Mpunga.Nimejaribu kutafuta facts baada ya kuona kuna barua za mtandaoni zikionesha Wanaharakati wanavyopokea fedha kuharibu amani nchini.
nilichokutana nacho ni hiki hapa chini....Inatisha sana.....
For support for the Shangazi Power project for strategic communication work and documentary production to promote knowledge of and the work of women activists in East Africa
Grantee
Mwanzo Dot Org
More about this grantee
Total Amount$400,000Grant approval$200,000 β August 2022Grant increase$200,000 β April 2024Approval dateAugust 2022Start dateAugust 2022End dateAugust 2026Grant typeRegularTopicsArts, culture and media
Civic participationBenefiting locationsKenya
Tanzania
Uganda
Program
Funding office
Β©2025 Ford Foundation,
some rights reserved
Na wewe andaa pendekezo kwenda Ford Foundation ,wakiridhia unavuta Mpunga.
Shangazi Power Project!Kwahio hizo pesa ndio zilinunua SMG za kuwapiga raia risasi na kabla ya hapo ndio zilifadhili utekaji ? Haya matatizo watu wamekuwa wakipiga kelele wakati moshi bado unafuka na sio huu moto watu mkajiita viziwi; na sasa cheche zimewaka watu mnataka kuweka petroli ya udini
Hii ni fact achana na propagandaHivi Jamiiforums imeshashuka viwango hadi hata hoja za kijinga za huu utoto unaowekwa mitandaoni na vijana wa UVCCM kama propaganda mfu unaruhusiwa kutujazia saver zetu?
Huu ni upumbavu na kudhalilisha jukwaa, yaani kuteka mteke nyie, kuvunja katiba nyie, wizi nyie na kuua ni nyie halafu wasemao wanalupwa na walewale wanao wapa fedha za misaada na kuandika nyaraka za kiingereza cha Tandale?
Mnatuonaje nyie? Who are you?
Ingia road kaandamane
Inajulikana toka mdaNimejaribu kutafuta facts baada ya kuona kuna barua za mtandaoni zikionesha Wanaharakati wanavyopokea fedha kuharibu amani nchini.
nilichokutana nacho ni hiki hapa chini....Inatisha sana.....
For support for the Shangazi Power project for strategic communication work and documentary production to promote knowledge of and the work of women activists in East Africa
Grantee
Mwanzo Dot Org
More about this grantee
Total Amount$400,000Grant approval$200,000 β August 2022Grant increase$200,000 β April 2024Approval dateAugust 2022Start dateAugust 2022End dateAugust 2026Grant typeRegularTopicsArts, culture and media
Civic participationBenefiting locationsKenya
Tanzania
Uganda
Program
Funding office
Β©2025 Ford Foundation,
some rights reserved
Ingia road kaandamane mamaeh...kina mange na maria wapokee tena billions...Dadaako kaacha simu leo? yupo busy na shemeji ako chumbani nn? Umekaririshwa?
Mwandiko huu sio wa kibongo ...vipi habari ya Lamu au mombasaHalafu bado kibwagizo cha eti wanaeneza "ushoga na usagaji" ndio karate yenu wana mbogamboga!
Mbona huko kwenu ndio kila siku sifa hiyo imeenea tena mpaka viongozi wakuu wenu wanatajwa na kujitaja?
Jee Hao wanaharakati ndio wanapewa hela kuwa sagisha na kuwa fir..isha?
Tabia yenu hiyo mbaya inatajwa kuwa hata wabaya wenu mkiwateka mnaona kufira kama stahili ya kuwafanyia ili kuwadhalilisha? Ona mnakamata hata raia wa nje nao mnawafanyia hayo na wanatangaza nchi yetu kuwa primitive kiasi cha kudhani kuchokonoa kinyesi ni ujanja
Hujui usemalo, vinginevyo utakuwa na tatizo.Mwandiko huu sio wa kibongo ...vipi habari ya Lamu au mombasa
Usidhani hawaumii mkuu, siku mtu utasikia kajiua tu. Mkapa alishasema alijutia mauaji aliyoyafanya kipindi cha utawala wake.Si lazima uone wameumia kwa kuharibiwa vyeo vyao,mali zao au familia zao.Wengi wanaumia kisaikolojia na huyajutia mabaya yote waliyoyatenda wakati wa madaraka yao. Maumivu ya hivyo huwatesa maisha yao yote.Kwaio Ngoma droo ..mnaoumia ni wananchi mafukara mnaoambiwa muandamane πππππ€§