Mwanzo dot org na Shangazi Power project wanapokea fedha kutokaFord Foundation

Hivi watu wengine vichwa vyenu vina ubongo kweli? Amani bila haki is mission impossible!

Wanaoharibu amani ni Samia The Killer na majambazi wenzake. Wanaharibu amani kwa kuteka, kutesa na/au kuua raia; kuwanyima Watanzania haki ya kuchagua viongozi wanaowataka au kugombea nafasi za uongozi; na kutumia raslimali za taifa kujinufaisha zaidi wao na mtandao wao (kundi dogo)!
 
kuanzia 2022 fedha zinatolewa kwa ajili ya uhuni huu
 
serikali ya ccm kubalini uwezo wenu wa kuongoza nchi ni mdogo
 
Mbona povu limeanza ?Kupokea fedha si tatizo tatizo mmezitumia vipi?kwa dhumuni lipi?
Wewe jamaa mjinga sana,vitu mnavyoandika na yule mpumbavu mwingine Lucas Msandambwa ni aibu tupu,na sijui mnafaidika nini na uchaguzi wa hovyo uliojaa wizi, watu kutekwa na kuuliwa, jirekebishe mnaua nchi
 
Propaganda 🚮
Ni mpumbavu pekee anaweza kuamini hizi porojo.


View: https://x.com/i/status/1999800411075526713
 
Wewe jamaa mjinga sana,vitu mnavyoandika na yule mpumbavu mwingine Lucas Msandambwa ni aibu tupu,na sijui mnafaidika nini na uchaguzi wa hovyo uliojaa wizi, watu kutekwa na kuuliwa, jirekebishe mnaua nchi
Nyie ndio wafaidika wa mauaji kwa kuwa mnaandika proposal mnahonga vijana halafu mnatuma picha za waliokufa ili mpaye fedha zaidi.
mnasomesha watoto kwa bloody money
 
Mbona povu limeanza ?Kupokea fedha si tatizo tatizo mmezitumia vipi?kwa dhumuni lipi?
Nakushauri ukasome kitabu kinaitwa kivuli kinaishi.... Mhusika mkuu bi kirembwe utajifunza kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…