Mwanzo wa meditation

Ntajuaje nimemaliza dkk 10????
 
Weka timer au alarm kabla hujaanza meditation otherwise hadi uzoee Ndio hutatumia saa

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Uliwahi kuniambia kuwa nina power ya Mediumship ya kuongea na spirit, na umesema inawezekana kuongeza uwezo mpaka kufikia hatua ya kuwaona kabisa. Je, vipi naweza kuongeza hiyo power ?
 
Najaribu kufanya lkn mawazo siwezi kuyashinda

Yeah
Huwezi kuyashinda Mara moja ni kuendelea kufanya tu itafika Muda yataisha
But hongera

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Uliwahi kuniambia kuwa nina power ya Mediumship ya kuongea na spirit, na umesema inawezekana kuongeza uwezo mpaka kufikia hatua ya kuwaona kabisa. Je, vipi naweza kuongeza hiyo power ?

Nilisema mimi, kuwa darasa limeshakuwa ni kwa ajili ya watu maalum, nikapingwa hapa ... Haya kiko wapi ? Wiki ya pili sasa nasubiri majibu, watu wako busy na whatsapp ...!!!:A S-cry:
 
Nilisema mimi, kuwa darasa limeshakuwa ni kwa ajili ya watu maalum, nikapingwa hapa ... Haya kiko wapi ? Wiki ya pili sasa nasubiri majibu, watu wako busy na whatsapp ...!!!:A S-cry:

Omba uingie whatsupp mkuu, na uwe tayari kutolewa kutegemeana na muhusika kaamkaje
 
Mkuu Rakims, mimi niliwahi kukutwa na kitu mpaka nikaogopa sana, ilikua hivi;

Ni mida ya usiku kama saa tano hivi nilichukua kitabu flani nikaamua kukipitia ili nitafute usingizi, kuna ukurasa nilifunua nikakuta picha ambayo ni ya kuchora, picha ile ni ya mwanaharakati wa miaka ya zamani sana, ilivyo ni kama zile za kubandika ukutani(mf hizi za rais) zilizopo kwenye maofisi, picha yenyewe hiyo mtu amenitazama, basi ile picha nilijikuta naitazama bila kupepesa macho kwa dk5, mara nikahisi kama inabadilika, yaani yule mtu akawa kama anaanza kufanya movement, niliogopa sana nikafunika kitabu haraka sana kisha nikaenda kulala.

je hiyo ilikua ni tatizo gani?
 
Nimesikia kuwa lile group la whatsapp a.k.a elimu hewa limevunjwa na mwalimu wao kisa wanafunzi hawataki kutoa ada a.k.a skuli fizi. Mwl njaa wanafunzi njaaa raha kweli.
 
Hiyo in power ya kuona matukio yaliyopita kwa kutumia kitu

#Rakims
 
Nilisema mimi, kuwa darasa limeshakuwa ni kwa ajili ya watu maalum, nikapingwa hapa ... Haya kiko wapi ? Wiki ya pili sasa nasubiri majibu, watu wako busy na whatsapp ...!!!:A S-cry:

Muwe Mnakumbuka name Mazuri So Mabaya Tu........

#Rakims
 
Nimesikia kuwa lile group la whatsapp a.k.a elimu hewa limevunjwa na mwalimu wao kisa wanafunzi hawataki kutoa ada a.k.a skuli fizi. Mwl njaa wanafunzi njaaa raha kweli.

Limevunjwa lini mkuu? Nilishawahi kuwa member na nikatolewa
 
Psychic power inazidi kudevelop fungua BBC Swahili utaona telepathy power imeanza kuwa proved.......

#Rakims
 
mkuu najaribu kufanya zoezi la meditation nikiwa katika hizo process kuna hali huwa nahis hapa kati kwenye paji la uso sio vibration je hii ni dalili gani katika hatua za meditation
 
mkuu najaribu kufanya zoezi la meditation nikiwa katika hizo process kuna hali huwa nahis hapa kati kwenye paji la uso sio vibration je hii ni dalili gani katika hatua za meditation

Hiyo hkupa jibu umekaribia kufungua..

#Rakims
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…