#BRAZA-rakims bado mdogo wako tatizo langu ni lilelile kuhusu ndoto zangu zinazonitesa kila leo..NAOTA NACHEZA MPIRA,NAPAA ANGANI IWE KWA RAHA AU TABU,NIKO SHULE NASOMA,NAWAUA NYOKA, hizi ni ndoto ambazo haiwezi pita wiki bila kuota,
Je kaka [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=Rakims]#Rakims [/URL] waweza maana yake au ntawezaje kuziepuka hzo zote maana sijui maana yake na zinanitokea kila mara na nilishawahi kumuona nabii yusufu mara 2 na kuliona NENO AGRIPINA mara 6 na kuliona neno MENE MENE NA PERERI mara 2 ktk ndoto ni nini hii kwa ueldwa wako kaka [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=Rakims]#Rakims [/URL] ..na nakumbuka uliniambia nna jini linalonilinda kama sijakosea linahitaji nilitambue je ntaanzaje kuliambia kuwa natambua uwepo wake?hatua ya kwanza na mwisho?kati ya wanafunnzi wako wasumbufu darasani mi mmoja wapo plz usitoe nje ya darasa nahitaji nami niwe mmoja wa wanaofaulu ktk darasa lako
Hiyo Power all you have to do ni kuamini Unapower Iliyoactive..ASANTE BRO KWA USHAURI wako UNAONIINGIA AKILINI ila TATIZO LANGU SI KUAMINI BALI NI JINSI YA KUICOTROL ntaanzaje anzaje ili mimi ndiye niicontrol hyo POWER.?
Marejesho ya meditation nilofanya jana
Wakati na meditate nilihisi kitu kinaranda mwilini mwangukinakuja kuanzina miguuni, mapajani, tumboni, kifuani pia mdomoni na puani vilevile kwenye paji la uso, naweza kusema ile hali kama ya mtetemeko hivi, pia zaidikwenye mikono yangu ilikua na hali kama hiyo yaku tetemeka au kama ganzi hivina ilifikia hali mpaka viganja vyangu nilikua nahisi vidole ya mikono yotemiwili vimepinga kabisa, ila hali hiyo ilinichukua mpaka nikawa nahisi kamanaelea hivi kwenye hewa hisia za kuelewa zilikua katika miguu na mikonomgongoni kwangu nilihisi kama bado uko juu ya kitanda na kichwani nilihisikatika kipaji change cha uso hali kama Ile ya sheking mwili, nilimeditatetakriban dakika 45 hivi, naomanitamalizia hapo
Sasa nilikua nataka kujua nimefikia hali gani ya meditationna naweza kujua nna power za aina gani, meditation ni mara yangu ya mwanzokufanya ila nilikua na high body spirit
Natanguliza shuktani zangu kwako

Shuran Mkuu Ramkis nitazidisha bidii kasha nitakupa marejeshoHongera Umepiga Hatua Naweza Kusema Unatransvection power lakini hapana watakiwa uendelee mpaka usibitishe ni power au ni meditation na kuhusu vibration ile ya ganzi huwa ni kama pozo la spirit kwenye mwili sasa kuna ganzi aina kama tatu...
1:ganzi ya Power
2:ganzi ya Charger
3:ganzi ya awareness
Sasa hapo iliyokutokea wewe kwa maelezo yako ni ganzi ya awareness maana moja kati ya sheria za meditation ukitaka kuona usiangalie which means kwamba ukitaka vitu vikutokee kamili usichunguze kile kilichotokea au kukichambua awareness inakuwa haipo unakuwa kama unamwagia maua maji halafu mpira unaukunja kunja....
Kama ulikuwa unaangalia third eye hukutakiwa uweke awareness sehemu nyingine zaidi ya hapo so hata ikija ganzi kutoka pengine utaichambua ukitoka kwenye meditation....
LAKINI:
Hongera umejitahidi kupata effects adhwimu kabisa...wengine hawajawahi kupata hata hiyo jitahidi utafika stage nzuri tu wala hakuna tabu tupo pamoja....
#Rakims
Ni PM siku nikirudi whatsapp takuweka ila wenzio bado wamo na wameanza kunusa nusa matunda ya meditation na Powers....
#Rakims