kakakuonana
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 338
- 61
Safiiiiii,naitaman sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukrani kwa pongezi, shukrani pia kwa ufafanuzi.. nitaendelea kwa kufuata ulivyoelekeza.
Umeniacha njia panda uliposema kuwa, hapa ninanukuu: Ulikuwa Unajifikiria Jinsi Ya Kumtongoza Wa Kike, Amekupa Namba Yake Mwenyewe. Mwisho wa kunukuu.
Ufafanuzi walau mkuu.
#Mtayarishaji
Samahan mkuu RAKIMS kwenye Group letu umeweka sheria na taratibu pia miiko ya Group,hivi huoni muda sasa umefika wa kuangalia kama sheria za Group zinafuatwa....?? Maana sasa Group limegeuka na maana yake sasa haipo tena,kuna Siasa,Dini,na mengine mengi.....Sa sijui kama wewe mwalimu Malengo yako yalikuwa hayo yanayoendelea sasa au ilikuwa kutupa Elimu... ??

Mkuu Mi nasikitika coz you have never added me into the group despite I had inboxed you early. Na nimwanafunzi wako mzuri tu. Ila ninachojua ni kwamba uwafundishacho huko ndicho hiko hiko unachotufundisha hapa.
Mkuu Mi nasikitika coz you have never added me into the group despite I had inboxed you early. Na nimwanafunzi wako mzuri tu. Ila ninachojua ni kwamba uwafundishacho huko ndicho hiko hiko unachotufundisha hapa. Natanguliza shukrani