Rakims
JF-Expert Member
- Jun 4, 2014
- 5,002
- 4,571
- Thread starter
- #241
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Samahani kwa usumbufu mi ni mgumu kidogo kuelewa nivumilie tu,umeweka vifungu vya bible then ukaendelea na mada mi nikashindwa kuunganisha,nafatilia haya mambo tangu pasco aanzishe nikawa msomaji tu ckuwa na acces ya kumuuliza na mchina wangu ila leo nimeongeza uelewa kidogo kutokana na maswali ulioulizwa na kujibu vizur
Basi sawa mkuu,ukifanikiwa kuingia huo mlango umesema ukitaka kutoka urudie hali ya kawaida unagonga kidole,je ukiwa unaona matukio yote hayo bado utakuwa unajitambua kama binadamu wa kawaida hadi utambue hiki ni kidole ?je unakigonga chini mahala hapo ulipo au sehemu ya mwili?
Rakims nashukuru kwa kuniridisha kwenye group.
Hongera kaka kwa kuwepo darasani. Mi nili mp mwalimu tangia the first day ya tangazo na kuomba na kuomba lakini sijawahi hata kulinusa tu. Labda kuna vigezo maalumu mwalimu anaangalia. Wacha tu nikomae hapa hapa maana hakuna jinsi.
hiyo picha imechorwa kama namba 3 ni aang'yn kiarabu... kihindi wanasema ooohmm ohm yani mungu.... ni baada ya kuona power tofaut tofaut zinatoka kwenye third eye fikra zao zikawatuma ni mungu yupo hapo wachina pia wanasanam wameweka dots kwenye kati ya nyusi hivyo still wanaabudu sio sanam bali power lile sanam ni pambo... mnh nisijekutekwa kuongea siri za watu... so wanafanya kuabudu sanam ili wewe usitambue nini kinachowapandisha.. mungu katupa nguvu badala tumshukuru tunaabudu vyake... alivyotupa tuvitumie ili tumuabudu cio tuviabudu....
#Rakims
kwaiyo wanavyoabudu sanamu wanatuzuga wanakuwa wana meditate inner power sio?
Nikifanya meditation huwa naexperince vitu vikinichoma
kama sindano sehemu tofauti za mwili. Baadae katikati ya nyusi panatekenya kama vile kuna kitu kama ka mdudu hivu.Halafu kwenye tumbo usawa wa diaphram panakuwa na sensetion nikipagusa kama vile niliwahi kuwaruzwa hivi japo sio maumivu. Rakims hii ina maana
gani?
Ndio Kupitia Ulimwengu Wa Ndoto(Spirit World) ndoto 3 unazozikumbuka Umewahi Kuota Ni Zipi?
[URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=rakim]#rakim s[/URL]