Mwanzo wa meditation

Mwanzo wa meditation

Nirudishe kwenye watsap tafadhali maana kuna mtu alitumia cm yangu akanifuta 0757756948 nilete mrejesho
 
Hiyo in power ya kuona matukio yaliyopita kwa kutumia kitu

#Rakims
mkuu rakims,,mimi huwa nikimuwaza sana mtu lazima anipigie simu au nikutane nae njiani hata kama hatujaonana miaka,au nikisoma neno jipya au jina mahali na kuliweka kichwan basi lazima nitakutana na hilo neno tena ndani ya siku chache sehemu nyingine au hata kulisikia kwenye vyombo vya habari,,imekaaje hii?,,,
 
Hiyo ni precognition iliyomezwa na sense ya mtu... Kuchimbua na kutumia power yako ni safari kidogo ila wanafunzi wangu nashukuru wameanza kupata kitu watsap..

#Rakims
 
Pasco kuna sehemu alicomment sijui alitumia panic au vipi kwenye uzi wake alidai kuna nguvu mbili ndani yetu kitu ambacho si kweli katika dini zote kwamba inside us kuna break & build powers au kuna light and dark power hapo nakataa kwa kishindo kikubwa.... Naipast hii jf...

#Rakims
 
Rakims please add this number.. +255713381615
 
Last edited by a moderator:
kaka Rakims naomba kujiunga na darasa lako la whatsapp, 0713230313
 
Nimesikia kuwa lile group la whatsapp a.k.a elimu hewa limevunjwa na mwalimu wao kisa wanafunzi hawataki kutoa ada a.k.a skuli fizi. Mwl njaa wanafunzi njaaa raha kweli.
Acha uwongo, Mbona group bado lipo? Nami ni member es group whatsapp? We hayo umeyapata wapi? You don't deserve to be called a GT.
 
Pasco kuna sehemu alicomment sijui alitumia panic au vipi kwenye uzi wake alidai kuna nguvu mbili ndani yetu kitu ambacho si kweli katika dini zote kwamba inside us kuna break & build powers au kuna light and dark power hapo nakataa kwa kishindo kikubwa.... Naipast hii jf...

#Rakims

kwaiyo ukweli ni upi?
cc Pasco
 
Mkuu haya tuambie wewe jinsi unavyofahamu wengine wapate kuelewa maana nimchanganyiko sasa unaotaka kuzaliwa hapa.
 
kwani darasa aliendelei mkuu rakims.mi nipo hapa kenya nafuatilia kimya kimya bt meditation imekuwa ngumu sana kufanya hapa nairobi.ata kuwa usiku vipi bado kelele zitakuwa,honi za magari,reggea club,maneiba kugegendana n.k.t.bt

niko na vibration mingi na sijawahi fanya meditation.mara kwa tumbo,mara kifua mara mguu.huwa nina ndoto nyingi na nikiota mtu amefariki lazima atakuwa wa familia lakini uwa cjui ni nani.

shukrani wakuu.i love tz so much natamani kutembea uko.c wakenya 2melaza damu sana.
 
kwani darasa aliendelei mkuu rakims.mi nipo hapa kenya nafuatilia kimya kimya bt meditation imekuwa ngumu sana kufanya hapa nairobi.ata kuwa usiku vipi bado kelele zitakuwa,honi za magari,reggea club,maneiba kugegendana n.k.t.bt niko na vibration mingi na sijawahi fanya meditation.mara kwa tumbo,mara kifua mara mguu.huwa nina ndoto nyingi na nikiota mtu amefariki lazima atakuwa wa familia lakini uwa cjui ni nani.shukrani wakuu.i love tz so much natamani kutembea uko.c wakenya 2melaza damu sana.

mkuu Tsomi paulo darasa linaendelea kwny group la whatsapp,njia ya kufany ni kuwek namb zako hapa ili aku add km nafas ipo.
 
Hi Rakims. Naomba ni add kwenye darasa la watsapp namba yangu ni ±447837718078
 
hii mada ni nzuri na ninahitaji kufaham zaid wadau so add me please 0769830483
 
Back
Top Bottom