Hata GSM ni mali ya msogaWatoto wa mjini wanasema hiyo kampuni ni ya Mkubwa mmoja na mtu fulani mzito. Ngoja mtaalam wa hizi kazi GENTAMYCINE aje kuelezea mtandao mzima.
Siku ukigundua huyo Jayrutty ni back up ya Mo Dewji utakuwa umechelewa sana.Habari zilizotufikia hivi ounde ni kuwa,ufalme wa tajiri namba moja nchini Mo Dewji klabuni msimbazi unaelekea ukingoni.
Ufadhili wa Jayrutty unaenda kuiteka klabumazima, Jayrutty wametumia mbinu za GSM kujipenyeza klabuni.
Ikumbukwe GSM waliingia jangwani kwa mkwara wa jezi kabla ya kuiteka timu mazima
Jayrutty watajenga uwanja Bunju,kituo cha matibabu,ofisi ya kisasa ya klabu na fadhili mbalimbali.
Kwa heri Mo,asante Mo
SahihiNdio shida ya wabongo hii.
Namimi nilijua haiwezi kuishia pale tu lazima narratives kama hizi tutegemee kuziona.
Story yeyote iliyo break down social media watataka kuiundia script ionekane kama ina behind the scenes ambayo taarifa zake zimefikiwa na wachache.
Katika hao wachache mtoa mada anataka kutuaminisha wanachama wa JF kuwa naye ni miongoni mwao.
Thamani aliyoiona leo huyu mwekezaji kwa Simba hakuiona misimu 6 nyuma.
Hii thamani imetokana na pesa za MO ambazo kimsingi alikuwa anatoa kama charity tu kwasababu makubaliano ilikuwa kutoa pesa ni mpaka transformation ikamilike.
Tunaweza ku appreciate thamani ya pesa alizoweka Jayruty bila kubeza au kufifisha jitihada alizofanya MO kuifikisha Simba katika hadhi hii ya kuwavutia wawekezaji wengi kutamani kuwekeza.
Hii habari ya simba kupata mdhamini wa jezi imewaumiza sana watu wa yanga sijui kwaniniHabari zilizotufikia hivi ounde ni kuwa,ufalme wa tajiri namba moja nchini Mo Dewji klabuni msimbazi unaelekea ukingoni.
Ufadhili wa Jayrutty unaenda kuiteka klabumazima, Jayrutty wametumia mbinu za GSM kujipenyeza klabuni.
Ikumbukwe GSM waliingia jangwani kwa mkwara wa jezi kabla ya kuiteka timu mazima
Jayrutty watajenga uwanja Bunju,kituo cha matibabu,ofisi ya kisasa ya klabu na fadhili mbalimbali.
Kwa heri Mo,asante Mo
Utopolo kunyweni panadol za kutosha kupooza maumivu......kuanzia kesho zitaadimika wachambuzi uchwara watazimaliza pain killerWatoto wa mjini wanasema hiyo kampuni ni ya Mkubwa mmoja na mtu fulani mzito. Ngoja mtaalam wa hizi kazi GENTAMYCINE aje kuelezea mtandao mzima.
Uyo Genta sawa na kigwa tuuWatoto wa mjini wanasema hiyo kampuni ni ya Mkubwa mmoja na mtu fulani mzito. Ngoja mtaalam wa hizi kazi GENTAMYCINE aje kuelezea mtandao mzima.