Tetesi: Mwanzo wa mwisho wa Mo Dewji Simba,JayRuttty kufuata nyayo za GSM,kugeuka wafadhili wakuu wa Simba

Habari zilizotufikia hivi ounde ni kuwa,ufalme wa tajiri namba moja nchini Mo Dewji klabuni msimbazi unaelekea ukingoni.

Ufadhili wa Jayrutty unaenda kuiteka klabumazima, Jayrutty wametumia mbinu za GSM kujipenyeza klabuni.
Ikumbukwe GSM waliingia jangwani kwa mkwara wa jezi kabla ya kuiteka timu mazima

Jayrutty watajenga uwanja Bunju,kituo cha matibabu,ofisi ya kisasa ya klabu na fadhili mbalimbali.

Kwa heri Mo,asante Mo
Jifunze kutofautisha mmiliki na mfadhili.

Ni sawa na kusema Emirates wanaiteka Arsenal kutoka kwa mmiliki Stan Kroenke.

Tofautisha Yanga na Simba.

Yanga yote 100% ni wanachama
Simba 49% ni Mo na 51% ni Simba Sports Club. Sasa hapo mfadhili aanzaje kuiteka timu.

Wabongo bhana
 
Unawaza mbali,kuna Mwamba anaitwa Diadora nyuma ya Jayruty.

Kaeni chonjo
 
Hapo uliposema tu atajenga uwanja ndio nimekosa imani kabisa. Simba na Yanga hawatoweza kujenga uwanja kamwe
 
Hu
Habari zilizotufikia hivi ounde ni kuwa,ufalme wa tajiri namba moja nchini Mo Dewji klabuni msimbazi unaelekea ukingoni.

Ufadhili wa Jayrutty unaenda kuiteka klabumazima, Jayrutty wametumia mbinu za GSM kujipenyeza klabuni.
Ikumbukwe GSM waliingia jangwani kwa mkwara wa jezi kabla ya kuiteka timu mazima

Jayrutty watajenga uwanja Bunju,kituo cha matibabu,ofisi ya kisasa ya klabu na fadhili mbalimbali.

Kwa heri Mo,asante Mo
Hujui maana ya mkataba. Gsm hana mkataba na yanga ni ujanja ujanja tuu
 
Hebu tuchambue hoja ilivyo:

1. Mo Dewji (anatajwa kama Muwekezaji Mkuu) alinunua asilimia 49% ya hisa za timu kwa thamani ya Tsh 20 Bilioni.

2. JayRutty ni msambazaji wa vifaa vya timu kama jezi n.k, na ametajwa kuwa na mkataba wa Tsh 38 Bilioni.

Kisha mtoa maoni anahofia
inaonekana ni ajabu msambazaji wa vifaa kuwa na mkataba wa thamani kubwa kuliko hata mwekezaji mkuu mwenye hisa nyingi kwenye klabu.

Ufafanuzi wa kina:

Hisa ni umiliki wa sehemu ya kampuni au klabu. Mo Dewji aliponunua 49%, alimiliki karibu nusu ya klabu.

Mkataba wa usambazaji (kama ule wa JayRutty) unaweza kuwa wa miaka mingi, na kuhusisha gharama kubwa za uzalishaji, usambazaji, matangazo, nk. Hii ni gharama ya huduma, si umiliki.

Sababu ya mchanganyiko:

Watu wengi huchanganya gharama ya huduma na thamani ya umiliki. Gharama ya Tsh 38B kwa JayRutty ni kwa muda wa miaka 5 , na ina maana kampuni yake itapata mapato au fursa ya kuuza vifaa na kupata faida. Siyo kwamba amewekeza Tsh 38B moja kwa moja kwenye timu kama Mo Dewji alivyofanya.

Kwa kifupi:

Mo Dewji alitoa hela kununua sehemu ya timu (umiliki).

JayRutty ana mkataba wa kibiashara wa muda mrefu ambao thamani yake ni kubwa, lakini si umiliki wa timu.

Hivyo, japo inaweza kuonekana ajabu kwa haraka haraka, si sahihi kulinganisha moja kwa moja umiliki na mkataba wa huduma bila kuangalia muktadha wa kila mmoja.
 
Habari zilizotufikia hivi ounde ni kuwa,ufalme wa tajiri namba moja nchini Mo Dewji klabuni msimbazi unaelekea ukingoni.

Ufadhili wa Jayrutty unaenda kuiteka klabumazima, Jayrutty wametumia mbinu za GSM kujipenyeza klabuni.
Ikumbukwe GSM waliingia jangwani kwa mkwara wa jezi kabla ya kuiteka timu mazima

Jayrutty watajenga uwanja Bunju,kituo cha matibabu,ofisi ya kisasa ya klabu na fadhili mbalimbali.

Kwa heri Mo,asante Mo
Kwani ccm sii imekuwepo Miaka yote mbona tungali maskini,usiogope changes,hata mzungu south Africa alitolew, tulia hata baada ya Biden kutoka tumejua kuwa USA Haina pesa,Wacha tuikumbatie mbogamboga mpaka tuwe watumwa wa kizmkazi,washasema walipa Kodi wamepungua kwa kiasi kikubwa
 
Hebu tuchambue hoja ilivyo:

1. Mo Dewji (anatajwa kama Muwekezaji Mkuu) alinunua asilimia 49% ya hisa za timu kwa thamani ya Tsh 20 Bilioni.

2. JayRutty ni msambazaji wa vifaa vya timu kama jezi n.k, na ametajwa kuwa na mkataba wa Tsh 38 Bilioni.

Kisha mtoa maoni anahofia
inaonekana ni ajabu msambazaji wa vifaa kuwa na mkataba wa thamani kubwa kuliko hata mwekezaji mkuu mwenye hisa nyingi kwenye klabu.

Ufafanuzi wa kina:

Hisa ni umiliki wa sehemu ya kampuni au klabu. Mo Dewji aliponunua 49%, alimiliki karibu nusu ya klabu.

Mkataba wa usambazaji (kama ule wa JayRutty) unaweza kuwa wa miaka mingi, na kuhusisha gharama kubwa za uzalishaji, usambazaji, matangazo, nk. Hii ni gharama ya huduma, si umiliki.

Sababu ya mchanganyiko:

Watu wengi huchanganya gharama ya huduma na thamani ya umiliki. Gharama ya Tsh 38B kwa JayRutty ni kwa muda wa miaka 5 , na ina maana kampuni yake itapata mapato au fursa ya kuuza vifaa na kupata faida. Siyo kwamba amewekeza Tsh 38B moja kwa moja kwenye timu kama Mo Dewji alivyofanya.

Kwa kifupi:

Mo Dewji alitoa hela kununua sehemu ya timu (umiliki).

JayRutty ana mkataba wa kibiashara wa muda mrefu ambao thamani yake ni kubwa, lakini si umiliki wa timu.

Hivyo, japo inaweza kuonekana ajabu kwa haraka haraka, si sahihi kulinganisha moja kwa moja umiliki na mkataba wa huduma bila kuangalia muktadha wa kila mmoja.
Kwa kifupi Mo Dewji anatengeneza pesa hapo kwenye uwekezaji wake, ndio kitu wengi hawajui.
 
Biashara unaijua vzr🤝
 
Nimewaambia watu hii wanabisha ila yule dogo ana watu nyuma yake maana ye ni diwan tu hawez kuwa na iyo pesa kama haluna watu bas kuna utapelinmkubwa unayaka kufanyika kwa simba kupitia brand yake
Watoto wa mjini wanasema hiyo kampuni ni ya Mkubwa mmoja na mtu fulani mzito. Ngoja mtaalam wa hizi kazi GENTAMYCINE aje kuelezea mtandao mzima.
 
Kwani ccm sii imekuwepo Miaka yote mbona tungali maskini,usiogope changes,hata mzungu south Africa alitolew, tulia hata baada ya Biden kutoka tumejua kuwa USA Haina pesa,Wacha tuikumbatie mbogamboga mpaka tuwe watumwa wa kizmkazi,washasema walipa Kodi wamepungua kwa kiasi kikubwa
Sasa hii inahusiana vipi na Jayrutty??
Au ndo tatizo la afya ya akili!!!
 
Nje ya Mada Kidogo: Yanga na Simba hazijawahi kumilikiwa na mtu tofauti na serikali.Wale washkaji ni wakuzugia tu, Mo anamiliki hisa nyingi Singida kuliko Simba.
 
Mo hakuna mwanasimba anaweza kumtoa pale... Anawadai pesa mingi ambazo hata huyu anayewazuzua hawezi kuzitoa. Mo ndio mmiliki halali wa simba.
Na Hayupo anayetaman Mo atoke simba
Ni Wajinga wajinga wa Litimu la wajinga Utopolo ndio wenye mawazo kama hayo!
Wivu Umewatawala Kila Jambo la Simba.
Lakini lazima mtambue kila Zuri kwenye Mpira wa Tanzania Huanza kwa Simba nyi Kunguni ndio mfuate
 
Jifunze kutofautisha mmiliki na mfadhili.

Ni sawa na kusema Emirates wanaiteka Arsenal kutoka kwa mmiliki Stan Kroenke.

Tofautisha Yanga na Simba.

Yanga yote 100% ni wanachama
Simba 49% ni Mo na 51% ni Simba Sports Club. Sasa hapo mfadhili aanzaje kuiteka timu.

Wabongo bhana
Nawatu wengu humu wanajadili bila kulijua hilo mkuuu nashuukuru umewafafanulia nathani mjadala ungeishia hapa💪 hyo ndo tofaut ya mo na gsm pale yanga,watu wanajadili kama mo nae alikua na tenda yakutngeneza jezi wakat yeye nisehem ya wamiliki wa clabu hata huyo aloopewa tenda lazma mo amehusika
 
Back
Top Bottom