Tetesi: Mwanzo wa mwisho wa Mo Dewji Simba,JayRuttty kufuata nyayo za GSM,kugeuka wafadhili wakuu wa Simba

Tetesi: Mwanzo wa mwisho wa Mo Dewji Simba,JayRuttty kufuata nyayo za GSM,kugeuka wafadhili wakuu wa Simba

Habari zilizotufikia hivi ounde ni kuwa,ufalme wa tajiri namba moja nchini Mo Dewji klabuni msimbazi unaelekea ukingoni.

Ufadhili wa Jayrutty unaenda kuiteka klabumazima, Jayrutty wametumia mbinu za GSM kujipenyeza klabuni.
Ikumbukwe GSM waliingia jangwani kwa mkwara wa jezi kabla ya kuiteka timu mazima

Jayrutty watajenga uwanja Bunju,kituo cha matibabu,ofisi ya kisasa ya klabu na fadhili mbalimbali.

Kwa heri Mo,asante Mo
Hakuna wa kumtoa mo dewji,pia subiri huo mkataba utekelezwe
 
Jifunze kutofautisha mmiliki na mfadhili.

Ni sawa na kusema Emirates wanaiteka Arsenal kutoka kwa mmiliki Stan Kroenke.

Tofautisha Yanga na Simba.

Yanga yote 100% ni wanachama
Simba 49% ni Mo na 51% ni Simba Sports Club. Sasa hapo mfadhili aanzaje kuiteka timu.

Wabongo bhana
MO sio mfalme atang'olewa tu
 
Hizi mbwembwe za hii kampuni zimenifanya nimkumbuke marehem Doctor Shika! Apumnzike kwa aman 😔 😟 🙁
 
Habari zilizotufikia hivi ounde ni kuwa,ufalme wa tajiri namba moja nchini Mo Dewji klabuni msimbazi unaelekea ukingoni.

Ufadhili wa Jayrutty unaenda kuiteka klabumazima, Jayrutty wametumia mbinu za GSM kujipenyeza klabuni.
Ikumbukwe GSM waliingia jangwani kwa mkwara wa jezi kabla ya kuiteka timu mazima

Jayrutty watajenga uwanja Bunju,kituo cha matibabu,ofisi ya kisasa ya klabu na fadhili mbalimbali.

Kwa heri Mo,asante Mo
itakuwa Amberrutty kaja kivingine baada ya kupotea kwa mda mrefu
 
Na Hayupo anayetaman Mo atoke simba
Ni Wajinga wajinga wa Litimu la wajinga Utopolo ndio wenye mawazo kama hayo!
Wivu Umewatawala Kila Jambo la Simba.
Lakini lazima mtambue kila Zuri kwenye Mpira wa Tanzania Huanza kwa Simba nyi Kunguni ndio mfuate
Hioi povu ni la buku jero tu 😂
 
Back
Top Bottom