Jifunze kutofautisha mmiliki na mfadhili.Habari zilizotufikia hivi ounde ni kuwa,ufalme wa tajiri namba moja nchini Mo Dewji klabuni msimbazi unaelekea ukingoni.
Ufadhili wa Jayrutty unaenda kuiteka klabumazima, Jayrutty wametumia mbinu za GSM kujipenyeza klabuni.
Ikumbukwe GSM waliingia jangwani kwa mkwara wa jezi kabla ya kuiteka timu mazima
Jayrutty watajenga uwanja Bunju,kituo cha matibabu,ofisi ya kisasa ya klabu na fadhili mbalimbali.
Kwa heri Mo,asante Mo
Mleta mada anasumbuliwa na ufukara...Hana impact yoyote kwa timu ya SimbaPunguza ukali wa meneno mkuu.
Ingependeza utoe shukran kwa Mo kuliko hizo kejeli.
Ungejua huyo takataka yako gsm usinge itajagsm kaamua kuingia huko tusisikie kelele tena
Msamehe! Hilo ye' haoni!Punguza ukali wa meneno mkuu.
Ingependeza utoe shukran kwa Mo kuliko hizo kejeli.
Hujui maana ya mkataba. Gsm hana mkataba na yanga ni ujanja ujanja tuuHabari zilizotufikia hivi ounde ni kuwa,ufalme wa tajiri namba moja nchini Mo Dewji klabuni msimbazi unaelekea ukingoni.
Ufadhili wa Jayrutty unaenda kuiteka klabumazima, Jayrutty wametumia mbinu za GSM kujipenyeza klabuni.
Ikumbukwe GSM waliingia jangwani kwa mkwara wa jezi kabla ya kuiteka timu mazima
Jayrutty watajenga uwanja Bunju,kituo cha matibabu,ofisi ya kisasa ya klabu na fadhili mbalimbali.
Kwa heri Mo,asante Mo
Kwani ccm sii imekuwepo Miaka yote mbona tungali maskini,usiogope changes,hata mzungu south Africa alitolew, tulia hata baada ya Biden kutoka tumejua kuwa USA Haina pesa,Wacha tuikumbatie mbogamboga mpaka tuwe watumwa wa kizmkazi,washasema walipa Kodi wamepungua kwa kiasi kikubwaHabari zilizotufikia hivi ounde ni kuwa,ufalme wa tajiri namba moja nchini Mo Dewji klabuni msimbazi unaelekea ukingoni.
Ufadhili wa Jayrutty unaenda kuiteka klabumazima, Jayrutty wametumia mbinu za GSM kujipenyeza klabuni.
Ikumbukwe GSM waliingia jangwani kwa mkwara wa jezi kabla ya kuiteka timu mazima
Jayrutty watajenga uwanja Bunju,kituo cha matibabu,ofisi ya kisasa ya klabu na fadhili mbalimbali.
Kwa heri Mo,asante Mo
Kwa kifupi Mo Dewji anatengeneza pesa hapo kwenye uwekezaji wake, ndio kitu wengi hawajui.Hebu tuchambue hoja ilivyo:
1. Mo Dewji (anatajwa kama Muwekezaji Mkuu) alinunua asilimia 49% ya hisa za timu kwa thamani ya Tsh 20 Bilioni.
2. JayRutty ni msambazaji wa vifaa vya timu kama jezi n.k, na ametajwa kuwa na mkataba wa Tsh 38 Bilioni.
Kisha mtoa maoni anahofia
inaonekana ni ajabu msambazaji wa vifaa kuwa na mkataba wa thamani kubwa kuliko hata mwekezaji mkuu mwenye hisa nyingi kwenye klabu.
Ufafanuzi wa kina:
Hisa ni umiliki wa sehemu ya kampuni au klabu. Mo Dewji aliponunua 49%, alimiliki karibu nusu ya klabu.
Mkataba wa usambazaji (kama ule wa JayRutty) unaweza kuwa wa miaka mingi, na kuhusisha gharama kubwa za uzalishaji, usambazaji, matangazo, nk. Hii ni gharama ya huduma, si umiliki.
Sababu ya mchanganyiko:
Watu wengi huchanganya gharama ya huduma na thamani ya umiliki. Gharama ya Tsh 38B kwa JayRutty ni kwa muda wa miaka 5 , na ina maana kampuni yake itapata mapato au fursa ya kuuza vifaa na kupata faida. Siyo kwamba amewekeza Tsh 38B moja kwa moja kwenye timu kama Mo Dewji alivyofanya.
Kwa kifupi:
Mo Dewji alitoa hela kununua sehemu ya timu (umiliki).
JayRutty ana mkataba wa kibiashara wa muda mrefu ambao thamani yake ni kubwa, lakini si umiliki wa timu.
Hivyo, japo inaweza kuonekana ajabu kwa haraka haraka, si sahihi kulinganisha moja kwa moja umiliki na mkataba wa huduma bila kuangalia muktadha wa kila mmoja.
Biashara unaijua vzr🤝Hebu tuchambue hoja ilivyo:

Zaidi ni mgawanyo wa kimajukumu kuleta UFANISI WENYE TIJA (FAIDA)Jezi zikija lazima ziwe na nembo ndogo inayosomeka " MO SPORTS"
Ndiyo utajua kuwa tajiri si mwenzio.
Mo ni mmiliki wa klabu, Jayrutty ni kit supplier sasa kuna tatizo gani?
Watoto wa mjini wanasema hiyo kampuni ni ya Mkubwa mmoja na mtu fulani mzito. Ngoja mtaalam wa hizi kazi GENTAMYCINE aje kuelezea mtandao mzima.
Sasa hii inahusiana vipi na Jayrutty??Kwani ccm sii imekuwepo Miaka yote mbona tungali maskini,usiogope changes,hata mzungu south Africa alitolew, tulia hata baada ya Biden kutoka tumejua kuwa USA Haina pesa,Wacha tuikumbatie mbogamboga mpaka tuwe watumwa wa kizmkazi,washasema walipa Kodi wamepungua kwa kiasi kikubwa
Na Hayupo anayetaman Mo atoke simbaMo hakuna mwanasimba anaweza kumtoa pale... Anawadai pesa mingi ambazo hata huyu anayewazuzua hawezi kuzitoa. Mo ndio mmiliki halali wa simba.
Nawatu wengu humu wanajadili bila kulijua hilo mkuuu nashuukuru umewafafanulia nathani mjadala ungeishia hapa💪 hyo ndo tofaut ya mo na gsm pale yanga,watu wanajadili kama mo nae alikua na tenda yakutngeneza jezi wakat yeye nisehem ya wamiliki wa clabu hata huyo aloopewa tenda lazma mo amehusikaJifunze kutofautisha mmiliki na mfadhili.
Ni sawa na kusema Emirates wanaiteka Arsenal kutoka kwa mmiliki Stan Kroenke.
Tofautisha Yanga na Simba.
Yanga yote 100% ni wanachama
Simba 49% ni Mo na 51% ni Simba Sports Club. Sasa hapo mfadhili aanzaje kuiteka timu.
Wabongo bhana