Tetesi: Mwanzo wa mwisho wa Mo Dewji Simba,JayRuttty kufuata nyayo za GSM,kugeuka wafadhili wakuu wa Simba

Hakuna wa kumtoa mo dewji,pia subiri huo mkataba utekelezwe
 
MO sio mfalme atang'olewa tu
 
MO sio mfalme atang'olewa tu
Hebu acha kujitoa ufahamu basi watu wasije wakakuona hufikirii kabla ya kuandika๐Ÿ˜‚

Hapo anang'olewa kwa yeye kuuza hisa zake 49%. Sio maandamano.

GSM ndio anaweza ondolewa kwa maandamano๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜‚
 
Hizi mbwembwe za hii kampuni zimenifanya nimkumbuke marehem Doctor Shika! Apumnzike kwa aman ๐Ÿ˜” ๐Ÿ˜Ÿ ๐Ÿ™
 
itakuwa Amberrutty kaja kivingine baada ya kupotea kwa mda mrefu
 
Na Hayupo anayetaman Mo atoke simba
Ni Wajinga wajinga wa Litimu la wajinga Utopolo ndio wenye mawazo kama hayo!
Wivu Umewatawala Kila Jambo la Simba.
Lakini lazima mtambue kila Zuri kwenye Mpira wa Tanzania Huanza kwa Simba nyi Kunguni ndio mfuate
Hioi povu ni la buku jero tu ๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ