Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Habari!
Mimi naona uwepo utamaduni kwenye jamii zetu za sasa wa kuwasaidia mabinti. Wanazalishwa kisha wanaachiwa jukumu zito la kulea watoto peke yao.
Wanazalishwa kisha waliowazalisha wanakwenda kuoa msichana mwingine na yule aliyezalishwa kuonekana hajatulia na jamii kumtazama kwa mtazamo hasi.
Jukumu la kumlinda mtoto wa kike asipoteze heshima yake katika jamii ni la kila mmoja hasa mzazi wa binti ndiye awe mstari wa mbele.
Iwekwe Sheria ndani ya makanisa kuwa binti kama hana usichana (bikra) siku ya kuolewa asivalishwe shela, pili asifanyiwe sherehe.
Wazazi wa Kiafrika wanapenda sana sherehe, wakiambiwa hivi watawachunga sana mabinti zao Vijana wengi hawataki kuoa kwasababu sexy inapatikana kila mtaa kwa gharama nafuu sana. Au hata bure . Ikiwa sexy ni ghari vijana wataoa.
Soma Pia: Ndoa hazina thamani tena wanaume tunaoa wanawake ambao teyari ni wake wa wanaume wenzetu
Msichana kama hana bikra hana tofauti na msichana mwenye mtoto. Kitu ambacho binti ambaye ameolewa huku amezaa anaweza kufanya ndani ya ndoa pia kinaweza kufanywa na binti ambaye hajakutwa na bikra.
Mungu kuweka bikra kwa binti hakuwa chizi, ile ni ishara ya agano. Kila agano hai lazima lihusishe damu
Kwa ufupi binti ambaye hana bikra huyo ni mke wa mtu