Mwauwasa ni Zaidi ya Tanesco sio kwa Gharama hizi za maji.

Mwauwasa ni Zaidi ya Tanesco sio kwa Gharama hizi za maji.

MoneyHeist4

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2017
Posts
2,134
Reaction score
3,192
Nyumba yangu iko umbali wa mita 150 kutoka bomba kubwa la maji lilipo. Nimeenda ofisini nikaambiwa nitoe 1.3M ili niweze kupaitwa huduma ya maji.

Nikajiuliza kwanini gharama kubwa namna hii au kwakuwa maji ni uhai. Nikaondoka zangu huku kichwani nikiwa na mawazo ya kuendelea na ule mfumo wangu wa kununua ndoo moja kwa shilingi mia.
 
Back
Top Bottom