3 Angels message
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 5,350
- 15,426
"...alijenga major project kwa pesa za ndani.."Huwezi kuniaminisha kwamba tawala ya mwendazake ilikua dhalimu wakati ilisomesha watoto wako bure,iliipaisha nchi kwenye uchumi wa kati,aliwapa wafanya kazi stahiki zao kwa wakati alijenga major project kwa pesa za ndani alikua sauti kwa wasio na sauti, alipambana na wala rushwa kwa maslahi mapana ya taifa niseme nini tena? Utawala wa baraka upo wapi kama waliobaka katiba ni walewale rangi ya kijani Mungu alimtuma kazi moja tuu kwenye hii nchi kutufikisha nchi ya ahadi ambayo hata musa hakuiona
Hapa umetudanganya mkuu