KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
He "fixed" himself, no body takes that credit.Bahati nzuri, they fixed him kwa maslahi mapana ya taifa letu tukufu.
Ajabu kubwa ni kuwa kuna watu kosa kubwa kama hili hawalioni, wao wanaangalia barabara na madaraja, madege, n.k.!Kwa Tanzania, umoja na mshikamano Kati ya makabila na dini na kada mbalimbali ni tunu ilio fanya taifa letu kusimama imara kwa miaka yote.
Yapo mengine mazuri aliyojaribu kuyafanya, hata kama njia zake zilikuwa ni hovyo, kama kupambana na ufisadi; na kujaribu kulinda raslimali zetu..., ni mambo mazuri sana ambayo yangemletea heshima kubwa, kama asingetumbukia kwenye tabia zake mbaya, kama kuminya uhuru na haki za watu..., n.k., n.k..