Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
JidanganyeniSure,watu wako kama wanafurahia lakini hakuna rangi tutaacha ona,na huko baadae mzee atakumbukwa sana kwa mengi,watatamani arudi na hataonekana tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
JidanganyeniSure,watu wako kama wanafurahia lakini hakuna rangi tutaacha ona,na huko baadae mzee atakumbukwa sana kwa mengi,watatamani arudi na hataonekana tena
"Njia zake zilikuwa za hovyo" na hiyo ndiyo kasoro yake kubwa watu walipomchukia, huwezi kutenda wema katika njia batili.Yapo mengine mazuri aliyojaribu kuyafanya, hata kama njia zake zilikuwa ni hovyo,
Upo sahihi, tatizo la Tanzania ni Ccm.umegundua unatakiwa kudai katiba mpya?
CCM watakupa? utadai na nani? CCM ni mbaya zaidi kuliko huyo mnayefurahia kuwa kafariki
Hautaiona katiba mpaka vizazi vyako sita, ambavyo vitakutwa maskini na mabepari washakamata kila sehemu
Eti alisema Tanzania ni tajiri wakati anajiita rais wa wanyonge. Umewahi kuona tajiri mnyonge?Ndio raisi pekee wa africa alisema hadharani africa ni tajiri na Tanzania ni tajiri hii ni mindset ya kua wapambanaji
Unakopa recklessly halafu deni watakuja kulipa hata vizazi vya awamu ya nane na tisa huko kufanya hivyo ni sawa na kuiba future ya watoto wetuWe are tax payers kinachotokea ni kwamba nakupa kwa mashart ntalipa kwa kukusanya tax hizo ni pesa za ndani
Wewe ni wakuonewa huruma tu. Nakuonea huruma sana. Inatakiwa wanajf wote wakuonee huruma. Mjinga hufundishwa akafundishika. Mpumbavu mtwange kinuni kwa mchi bado atoka na upumbavu wake! Mpumbavu wahedi.Huwezi kuniaminisha kwamba tawala ya mwendazake ilikua dhalimu wakati ilisomesha watoto wako bure,iliipaisha nchi kwenye uchumi wa kati,aliwapa wafanya kazi stahiki zao kwa wakati alijenga major project kwa pesa za ndani alikua sauti kwa wasio na sauti, alipambana na wala rushwa kwa maslahi mapana ya taifa niseme nini tena? Utawala wa baraka upo wapi kama waliobaka katiba ni walewale rangi ya kijani Mungu alimtuma kazi moja tuu kwenye hii nchi kutufikisha nchi ya ahadi ambayo hata musa hakuiona
Eeenh Heee!Kwakuwa jambo hili hulijui, huna sababu ya kupinga, na si jambo jepesi hivyo kumwaga ushahidi hapa hata kama anao. Sasa naona kama ulivyo maliza na swali kwamba ni nani kamfix ndivyo ulitakiwa kuanza. Usishangae kupewa jibu. Usiwe mwepesi kukanusha wakati unaambiwa jambo. By the way, uliamini Mwendazake anaumwa Tundu Lisu alipotoa mara ya kwanza?
Yawezekana hata kuropoka kwa kupinga vilevile. We si daktari aliyethibitisha nature of death. Aliyesema Kawa fixed humjui, vipi kama ndiye muhusika? Tatizo ni nyie watu wa inner circle kudhani watz hawana uwezo wa kutafakari na hata kuunga dots. It seems you know the inside part of the story that's why unang'aka! Kama hujui kitu utakuwa inquisitive and anxious to get more information. Sasa wewe hutaki hata kusikia tetesi, why?Eeenh Heee!
Husemi kitu mkuu. Unazunguka tuuuu!
Na tunaweza kujaza kurasa nyingi tu kwa mizunguko ya aina hii hii.
Hili ndilo tatizo tulilonalo waTanzania katika mambo yetu mengi.
Mtu kajiropokea tu "they fixed him"!
Hapo hapo wanajitokeza waunga mkono, juu ya maneno hayo matatu tu yasiyokuwa na ushahidi wowote!