3 Angels message
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 5,350
- 15,426
"...alijenga major project kwa pesa za ndani.."Huwezi kuniaminisha kwamba tawala ya mwendazake ilikua dhalimu wakati ilisomesha watoto wako bure,iliipaisha nchi kwenye uchumi wa kati,aliwapa wafanya kazi stahiki zao kwa wakati alijenga major project kwa pesa za ndani alikua sauti kwa wasio na sauti, alipambana na wala rushwa kwa maslahi mapana ya taifa niseme nini tena? Utawala wa baraka upo wapi kama waliobaka katiba ni walewale rangi ya kijani Mungu alimtuma kazi moja tuu kwenye hii nchi kutufikisha nchi ya ahadi ambayo hata musa hakuiona
Hata Mimi naamini ni maradhi hayo mengine ni ya vijiweni.Lakini tuwe wakweli ile cycle nzima ya watu wake wakaribu walipata maambukizi. Hizi conspiracy theories ni kisingizio.
Conciperancy theories zisizo na kichwa wala miguu. Story za mtaani ndio mnataka kulisha wenye uelewa wa mambo?
Amini nakwambia huo n do ukweli mchungu ambao vichwa maji wengi wa hii nchi hua hawataki kuskia au kuambiwa huwezi pigana na rangi nyeupe wengi waliopambana nao walitangulia mbele za haki mapema lakini Mungu alivyowaajabu wazungu na covid yao wanaishi maono yake kua tutaishi na covid kama ugonjwa mwinginneConciperancy theories zisizo na kichwa wala miguu. Story za mtaani ndio mnataka kulisha wenye uelewa wa mambo?
Ndio raisi pekee wa africa alisema hadharani africa ni tajiri na Tanzania ni tajiri hii ni mindset ya kua wapambanaji"...alijenga major project kwa pesa za ndani.."
Hapa umetudanganya mkuu
Acha magugu na ngano zikue pamoja ipo siku itajurikana mashudu ni yapi na ngano ni zipiShudu.
Lakini siyo kweli kuwa hizo major projects ulizosema zinakuwa financed na fedha za ndaniNdio raisi pekee wa africa alisema hadharani africa ni tajiri na Tanzania ni tajiri hii ni mindset ya kua wapambanaji
We are tax payers kinachotokea ni kwamba nakupa kwa mashart ntalipa kwa kukusanya tax hizo ni pesa za ndaniLakini siyo kweli kuwa hizo major projects ulizosema zinakuwa financed na fedha za ndani
Kosa lililofanyika ni kuwabana wenye pesa wakanuna hyo ndo naamini failure ya mwendazake ila angeishi nao kwa akili asingefika hapaTatizo kubwa la CCM ni kutofikiria kuwa upinzani unapendwa na wananchi wanapenda kuona wawakilishi wao wakiwa bungeni. Yaliyo fanyika uchaguzi wa 2020 yalisababisha chuki kubwa kati wa vyama vya upinzani na chama tawala.
Huwezi kuniaminisha kwamba tawala ya mwendazake ilikua dhalimu wakati ilisomesha watoto wako bure,iliipaisha nchi kwenye uchumi wa kati,aliwapa wafanya kazi stahiki zao kwa wakati alijenga major project kwa pesa za ndani alikua sauti kwa wasio na sauti, alipambana na wala rushwa kwa maslahi mapana ya taifa niseme nini tena? Utawala wa baraka upo wapi kama waliobaka katiba ni walewale rangi ya kijani Mungu alimtuma kazi moja tuu kwenye hii nchi kutufikisha nchi ya ahadi ambayo hata musa hakuiona
Ukisummarize hayo maelezo yako unaishia kusema ni mkopo.We are tax payers kinachotokea ni kwamba nakupa kwa mashart ntalipa kwa kukusanya tax hizo ni pesa za ndani
Wala mimi sijapinga ukweli wako uliuosema kwenye uzi wako namba moja. Naona umerukia kumsaidia huyo muhuni niliyemquote.Hutaki unaacha
Amini nakwambia huo n do ukweli mchungu ambao vichwa maji wengi wa hii nchi hua hawataki kuskia au kuambiwa huwezi pigana na rangi nyeupe wengi waliopambana nao walitangulia mbele za haki mapema lakini Mungu alivyowaajabu wazungu na covid yao wanaishi maono yake kua tutaishi na covid kama ugonjwa mwinginne
Inakuaje mtoto mzuri kama wewe unaongea yasiyoeleweka kabisa.??Tatizo kubwa la CCM ni kutofikiria kuwa upinzani unapendwa na wananchi wanapenda kuona wawakilishi wao wakiwa bungeni. Yaliyo fanyika uchaguzi wa 2020 yalisababisha chuki kubwa kati wa vyama vya upinzani na chama tawala.
WazalendoWHO ARE THESE RESPONSIBLE FOR THIS DESPICABLE ACT?
Walianza kumsearch kitambo sana! Kuja Dar ilikuwa fursa kubwa sana kurahisisha mchakato...Alikosea sehemu ndogo sana wakammaliza mwanamajumui wa africa kosa alilofanya kuja dar baaaaaaas ningekua malaika ningepaa nakumpa habaru hizi
Soma hapo uone hizo fedha za ndani ulizokuwa unahubiriwa.Huwezi kuniaminisha kwamba tawala ya mwendazake ilikua dhalimu wakati ilisomesha watoto wako bure,iliipaisha nchi kwenye uchumi wa kati,aliwapa wafanya kazi stahiki zao kwa wakati alijenga major project kwa pesa za ndani alikua sauti kwa wasio na sauti, alipambana na wala rushwa kwa maslahi mapana ya taifa niseme nini tena? Utawala wa baraka upo wapi kama waliobaka katiba ni walewale rangi ya kijani Mungu alimtuma kazi moja tuu kwenye hii nchi kutufikisha nchi ya ahadi ambayo hata musa hakuiona