'Mwendazake' alipanda MBEGU za kujimaliza kwa mkono wake mwenyewe

Hizo zote ulizotaja ni miongoni mwa kazi basics kabisa za serikali... Na lazima ziende sambamba na maendeleo ya watu!
Tatizo from bush ndani ndani huko mwendazake alijawa na kiburi, dharau na majivuno akaanza kujimwambafy na kuhisi bila yeye nchi haitofika kokote...!
Shame on you Sukumagangs! Huyo mfalme wenu aliumiza watu wengi akilazimisha wawe wanyonge ili aendelee kuwa mungu wao...
Ndo ujue MUNGU wa kweli ni fundi sana!
 
Kosa lililofanyika ni kuwabana wenye pesa wakanuna hyo ndo naamini failure ya mwendazake ila angeishi nao kwa akili asingefika hapa
Kwa hiyo haya ni ya kweli?

 
"Mungu alimtuma kazi moja tuu kwenye hii nchi kutufikisha nchi ya ahadi ambayo hata musa hakuiona"
Unaweza kutoa nukuu kutoka ktk vitabu vitakatifu kusupport maneno yako niliyo nukuu?
 
Kwani kuugua na kufa kwa Corona ni aibu ?! Corona si kaswende uionee aibu. Wameugua akina Boris, Trump, Raila sembuse na sisi !!.

WaTz walochanganyikiwa maabara kuu tunaipimisha kware, papai, makondoo na mimbuzi. Mradi tuwapruv wrong wazungu !! Yako wapi sasa ?! [emoji107]

Odhis *
 

Mwisho wa siku za maombolezo ni kesho tarehe 6, au siyo?

Na ifike haraka hii siku, tupotezee kabisa hii kitu na kufuta kumbukumbu zake...

Picha yake kwenye TV yangu na nyimbo nyimbo za kumsifu na kumtaja taja huyu mtu, mimi huwa zinatia kichefu chefu, sitaki kuona picha yake wala kusikia habari zake kabisa..!!!!
 
Akaozee mbali huko. Sisi tuendelee na life.
 
Ati aliwapa wafanyakazi nini kwa wakati?! Hata yeye mwenyewe angekusoma hapa angekushangaa sana.
 
Alikosea sehemu ndogo sana wakammaliza mwanamajumui wa africa kosa alilofanya kuja dar baaaaaaas ningekua malaika ningepaa nakumpa habaru hizi
Hadithi za kutunga tunga na kuunga unga tu hizi. Kauwawa wapi,lini, e.t.c
Auwawe yuke kwa safu yake kuanzia ulinzi mpaka madaktari, halafua suala liende kimya hivyo.Unacheza wewe!
Sema ni nadharia yako, sasa andika huku unaipa back up. Sio mnatutungia discussion miyeyusho 🤔
 


mko excited na mama Samia kama vile ni CDM


CCM ipo sana tu, na ndio la kuogopa hilo
 
Mwenda amepanda mbegu ya chuki, tunatakiwa tuamke sasa na kusema Never again

Sasa ni sisi tukomalie Katiba mpya kwa ajili ya Watoto na vilembwe vyetu visije kutawaliwa na Dikteta tena.

umegundua unatakiwa kudai katiba mpya?

CCM watakupa? utadai na nani? CCM ni mbaya zaidi kuliko huyo mnayefurahia kuwa kafariki

Hautaiona katiba mpaka vizazi vyako sita, ambavyo vitakutwa maskini na mabepari washakamata kila sehemu
 
Bahati nzuri, they fixed him kwa maslahi mapana ya taifa letu tukufu.
Ni funzo kubwa kwa watawala wote wajao
Hapa ndio tatizo linakuja, they fixed him; lete nadharia...
Yule siku ziliisha basi...
Habari za kauwawa ni kutafuta tu namna ya kujipoza... hakuna hata ka ushahidi ka tetesi kutoka maeneo nyt.
 
Kirusi Covid mwanaharamu sana
Unaambiwa they fixed him, wewe unakimbilia kirusi Covid! ??. Ndio maana wanasema kuelewa swali ni asilimia kubwa ya kujibu swali. Soma tena hoja ya mleta mada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…