SITAKI UPUZI HII NCHI LAZIMA NIDHAMU IWEPO LA SIVYO TUTAENDELEA KUDIDIMIA KAMA TAIFA. DISCIPLINE NA KAZI LAZIMA IWEPO NINAANZA HUMU HUMU JAMII FORUM. SITAKI NA SIPENDI UPUZI.Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) imemsimamisha kazi Mwendesha Mashtaka Mkuu, Karim Khan. Hatua hii inakuja baada ya uchunguzi wa miezi 18 uliofanywa na Umoja wa Mataifa kuhusu tuhuma za unyanyasaji wa kijinsia.
Khan anatuhumiwa kumnyanyasa kijinsia mara kwa mara mfanyakazi wa kike wa ICC kwa muda mrefu. Inadaiwa alifanya naye ngono bila ridhaa yake ofisini kwake, nyumbani kwake, na hata walipokuwa kwenye safari za kiofisi.
Wachunguzi kutoka Ofisi ya Huduma za Usimamizi wa Ndani ya Umoja wa Mataifa (OIOS) walisema kuna viashiria vya ukweli kuhusu tuhuma hizo. Hata hivyo, majaji watatu waliopitia ripoti hiyo walihitimisha kuwa ushahidi uliopo hautoshi kuthibitisha kosa hilo "bila kuacha shaka yoyote".
Khan amekuwa akikanusha vikali tuhuma hizo, na mawakili wake wamesema uamuzi wa kumsimamisha kazi si wa kisheria, haukufuata taratibu na hauna ushahidi. Mpaka sasa, hakuna mashtaka yoyote ya jinai yaliyofunguliwa dhidi yake.
Tuhuma hizi ziliripotiwa kwa mara ya kwanza na mtu wa tatu mnamo Mei 2024, lakini kesi ilifungwa baada ya mhanga kukataa kushiriki. Baada ya kukosolewa kuwa uchunguzi wa kwanza uliharibiwa, suala hilo lilirudishwa tena Oktoba 2024 na kusababisha uchunguzi mkubwa wa Umoja wa Mataifa uliomsimamisha kazi.
Source: BBC, DW, Al Jazeera
Dunia hii ni ya kinafiki sana, sio UNo wala YTO, wote ni hao haoHuyu kabananishwa kisa tu alitoa hati ya mashtaka dhidi ya Netanyahu!! Hii dunia hakuna demokrasia ya kweli, ukigusa wenye nguvu unaundiwa zengwe ila cha ajabu wao ndio wanajifanya kupigania demokrasia au kupambana na ugaidi dunia nzima!!
Unafiki wa ajabu sana
Dunia na unafki ni pachaHuyu kabananishwa kisa tu alitoa hati ya mashtaka dhidi ya Netanyahu!! Hii dunia hakuna demokrasia ya kweli, ukigusa wenye nguvu unaundiwa zengwe ila cha ajabu wao ndio wanajifanya kupigania demokrasia au kupambana na ugaidi dunia nzima!!
Unafiki wa ajabu sana
Yaani miaka yote hana kashfa mpaka siku tu aliyoamua kumkamata Netanyahu? Hata huyo judge anayesikiliza kesi ya ufisadi ya Netanyahu usishangae akapewa kesi ya ubakaji.Nawashangaa mnaoihusisha marekani na tuhuma za unyanyasaji wa kingono zinazomkabili Khan.
Yapo mazingira ambayo mtu ungeweza connect useme kweli marekani kahusika, marekani wangeweza hata kusema hawana imani nae, hiyo ingetosha kumuweka Khan kwenye wakati mgumu.
Lakini tuhuma zinazohusisha mwanamke hilo ni balaa lake alikojitafutia mwenyewe.
Hapa ndipo main body ilipo, hayo mengineyo ni sarakasi tu. Wao walitaka hiyo mahakama ya ICC iwe inashughulikia viongozi wa Afrika na latin America. Walivyoona Netanyahu kaguswa wakaweka Nongwa.Marekani iliongeza shinikizo dhidi ya mahakama hiyo, hasa kutokana na hati ya kukamatwa kwa Netanyahu, na kuweka vikwazo kwa wafanyakazi pamoja na majaji wa mahakama hiyo.
Hapa issue ya msingi ni mtuhumiwa amefanya kosa au hajafanya, suala la wakati sioni kama lina maana.Yaani miaka yote hana kashfa mpaka siku tu aliyoamua kumkamata Netanyahu? Hata huyo judge anayesikiliza kesi ya ufisadi ya Netanyahu usishangae akapewa kesi ya ubakaji.
Hajafanya kosa ni tuhuma tu za mwanamke mmoja kuwa "alimshika" bila idhini yake. Sasa kweli kumshika mtu mkono tu ndio kesi ya kumfukuzisha mtu? Unaona kabisa ni kisiasa. Mtu kama Khan kwa hela zake tu anaweza agiza mrembo yoyote kwa bei yoyote kulala naye wala hahitaji "kumshika shika" mfanyakazi wa taasisi yake.Hapa issue ya msingi ni mtuhumiwa amefanya kosa au hajafanya, suala la wakati sioni kama lina maana.
Mtu yeyote anaweza fanya any stupid thing at any time regardless ya nafasi yake popote.
Kuanza kwake kusikiliza kesi ya Neta hakukumzuia kufanya stupid thing, wacha wenye maamuzi wakae chini waamue.
Mahakama yenyewe imekueleza haina ushahidi usio na mashaka. Umeona kuna hukumu hapo?Hapa issue ya msingi ni mtuhumiwa amefanya kosa au hajafanya, suala la wakati sioni kama lina maana.
Mtu yeyote anaweza fanya any stupid thing at any time regardless ya nafasi yake popote.
Kuanza kwake kusikiliza kesi ya Neta hakukumzuia kufanya stupid thing, wacha wenye maamuzi wakae chini waamue.
Nimeshakwambia, iwe uwezo wa mtu kiuchumi, au nafasi ya mtu kijamiiHajafanya kosa ni tuhuma tu za mwanamke mmoja kuwa "alimshika" bila idhini yake. Sasa kweli kumshika mtu mkono tu ndio kesi ya kumfukuzisha mtu? Unaona kabisa ni kisiasa. Mtu kama Khan kwa hela zake tu anaweza agiza mrembo yoyote kwa bei yoyote kulala naye wala hahitaji "kumshika shika" mfanyakazi wa taasisi yake.
Hajafanya kosa ni tuhuma tu za mwanamke mmoja kuwa "alimshika" bila idhini yake. Sasa kweli kumshika mtu mkono tu ndio kesi ya kumfukuzisha mtu? Unaona kabisa ni kisiasa. Mtu kama Khan kwa hela zake tu anaweza agiza mrembo yoyote kwa bei yoyote kulala naye wala hahitaji "kumshika shika" mfanyakazi wa taasisi yake.