Mwendesha Mashtaka Mkuu ICC asimamishwa kazi kwa unyanyasaji wa Kingono

Mahakama yenyewe imekueleza haina ushahidi usio na mashaka. Umeona kuna hukumu hapo?

Majaji watatu walioendesha kesi hawakuona ushahidi, wewe umeupata wapi?
Hukumu ya mwisho inatolewa na hizo nchi 125, ndio mtulie msubiri hiyo hukumu.
 
Huyu kabananishwa kisa tu alitoa hati ya mashtaka dhidi ya Netanyahu!! Hii dunia hakuna demokrasia ya kweli, ukigusa wenye nguvu unaundiwa zengwe ila cha ajabu wao ndio wanajifanya kupigania demokrasia au kupambana na ugaidi dunia nzima!!

Unafiki wa ajabu sana
The same way mlivyomkingia kifua Sheikh Zakil kwa kesi utakatishaji wa Fedha ndvyo mnamkingia kifua huyu bwana. Huyu bwana si ndiye alichelewesha fail la uchunguzi wa Oct29,alifanya hivyo kwa interest za nani?.
 
Alichelewesha wapi na kivipi? Unajua kweli procedure za kufile case ICC? Huyo prosecutor mpaka imfikie ilishapita level nyingi sana ambayo yeye anakua mtu wa mwisho kabisa huko kufikiwa.
 
Kumbe hata habari yote hujaisoma unapiga kelele tu hapa!.

Rudi kasome.
Hiyo siyo hukumu acha kupotosha ni kura tu ya kumtaka apishe au lah ila hawana jurisdiction ya kumhukumu kama ana makosa au lah otherwise hiyo inafanyika kwenye mahakama ya nchi ambapo kesi imefunguliwa.
 
Nyie sijui mna tatizo gani vichwani, kama hiyo kura haina maana isingepigwa, inapigwa ikiwa na maana nayo ina umuhimu kwenye maamuzi juu ya Khan.

Kama hiyo kura isingekuwa na maana isingesubiriwa, hamuijui nguvu waliyonayo member states.

Upeo wenu kwenye kuchanganua vitu vidogo unatia mashaka!, endeleeni kuamini ramli za Trump kama vile Khan ni malaika.

Over!.
 
Ile sio hukumu, maana haitolewi na mahakama yale kinachofanyika ni kura ya maoni tu ya kwamba aondolewe kiuongozi ila sio hukumu kuwa amebaka au lah.

Ni sawa na CWT ambaye Rais wao ana kesi ya uhujumu uchumi leo wapige kura ya kuchagua Rais mwingine haimaanishi kuwa Rais kweli ni mhalifu ila wanambadilisha ili akipambana na kesi iwe individual bila taasisi kuburuzwa kwenye tuhuma hizo.

Tofautisha mambo hayo mawili
 
As long as hizo states 125 zimepewa nafasi ya kupiga hizo kura, basi nazo zina influence kwenye maamuzi, sijui huelewi nini hapo.

Hizo nafasi zinataka mtu clean, asiwe na doa, hata kama hataondolewa lakini ikitokea hizo kura za states 125 nyingi zikawa against Khan, hilo tayari ni doa kwake, hawezi kufanya kazi na wasiomuamini.
 
Ndio sio Hukumu ni kura ya maoni. Kigumu kuelewa ni nini? Hukumu kuhusu kama amebaka au hajabaka inaamuliwa na mahakama sio na hizi kura za wanachama.

Usichanganye haya mambo mawili. Kura ina deal na cheo chake tu ila hukumu inadeal kisheria na kesi ya ubakaji.
 
Kama atakutwa na hatia hiyo hukumu itamuondolea pia cheo chake, sio kura peke yake.

Unaonekana huijui influence ya member states kwenye kujenga imani ya mhusika [Khan] katika kutekeleza majukumu yake ya kila siku.

Ndio maana umekomaa tu na hukumu, sio kura, hata kura nazo zina uzito wake.
 
Kama atakutwa na hatia hiyo hukumu itamuondolea pia cheo chake, sio kura peke yake.
Hukumu gani? Si tayari majaji watatu wa ICC waliosikiliza kesi walikuta hana hatia ya UBAKAJI. Kumbuka kesi yake ilikua ni ya "kumshika shika" na wala sio kwamba kuna kubakwa as penetration ila bado alionekana hakuna ushahidi kuwa aliwahi "kumshika shika" binti. Hii ni excerpt kutoka kwenye hukumu

OIOS found that, per the civil standard of evidence normally used in criminal cases, the investigation had not established misconduct beyond any reasonable doubt.

Hiyo ndio hukumu ya kisheria kabisa so jamaa hajabaka.

Ila hizo KURA za wanachama ni kumuondoa tu kwenye uongozi kwa sababu ya tuhuma ila sio sababu mahakama au majaji wamemkuta na hatia. Kwahiyo hiyo KURA sio HUKUMU kama amebaka au lah ni KURA tu kuamua kama aendelee kuwa kiongozi au lah.
 
Ndio maana umekomaa tu na hukumu, sio kura, hata kura nazo zina uzito wake.
Kura sio uthibitisho kuwa alibaka usichanganye mambo.

Anaweza tolewa, ila sio uthibitisho kuwa alibaka ndio hoja yangu
 
Hukumu gani? Si tayari majaji watatu wa ICC waliosikiliza kesi walikuta hana hatia ya UBAKAJI. Kumbuka kesi yake ilikua ni ya "kumshika shika" na wala sio kwamba kuna kubakwa as penetration ila bado alionekana hakuna ushahidi kuwa aliwahi "kumshika shika" binti. Hii ni excerpt kutoka kwenye hukumu

OIOS found that, per the civil standard of evidence normally used in criminal cases, the investigation had not established misconduct beyond any reasonable doubt.

Hiyo ndio hukumu ya kisheria kabisa so jamaa hajabaka.

Ila hizo KURA za wanachama ni kumuondoa tu kwenye uongozi kwa sababu ya tuhuma ila sio sababu mahakama au majaji wamemkuta na hatia. Kwahiyo hiyo KURA sio HUKUMU kama amebaka au lah ni KURA tu kuamua kama aendelee kuwa kiongozi au lah.
Kura sio kumuondoa tu kwenye uongozi, inawezekana member states bado wakawa na imani nae, acha wafuate taratibu walizojiwekea wenyewe, sioni shida iko wapi hapo.
 
Kura sio uthibitisho kuwa alibaka usichanganye mambo.

Anaweza tolewa, ila sio uthibitisho kuwa alibaka ndio hoja yangu
Kama itatokea akatolewa ni kwasababu member states watakuwa wamepoteza imani kwake, sio kwasababu ya kubaka.

Nimeshakwambia pale juu hizi nafasi hazitaki mtendaji awe na doa, sio lazima mpaka akutwe na hatia, kuwa na doa pekee inatosha kukuondoa kwenye nafasi yako.

Hapo naamini umenielewa sasa, tuache member states waamue.
 
Hapana ni Marekani na Israel wasipokutaka utaondoka tu. AIPAC inatoa mabilion ya fedha kufadhili wanasiasa wa USA so lazima watie joto mpaka wasiyemtaka aondolewe.

Ila angekua amekamata viongozi wa Hamas na Iran ungeona ambavyo angetetewa. Kwa kuamini tu angalia waliohusishwa na Epstein files je wangapi wamekamatwa hadi sahivi? Dunia imejaa unafiki tu.
 
Back
Top Bottom