Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado magari makubwa ya kubeba nafaka, yanasimama kushushaBara bara iko sawa shida ni watumiaji mkuu, 1 wafanya biashara wapo mpaka bara barani unategemea nini? 2 Dala dala zitapunguzwa bada ya mwendo kasi kuwepo rejea njia zilizopitishwa mwendo kasi. 3 Serekali wenyewe mipango yao ndio mibuvu kunauwezekano mkubwa sana wakutengeneza njia mbadala zipo kusaidia kupunguza mzigo wa magari ktk njia kuu lakiniwao wameamua kukaa kimya na hatuwezi kuwa kosea. 4 Madereva wa hiyo njia wana jiamulia wanalotaka kufanya njiani bila woga na trafiki akija wanayaongea yanaisha.
Mfano kila asubuhi hapo kituo cha Mission kun gari zinatoka upande wa kulia zina lazimisha kuja kwenye kipita shoto kwa kuja kwenye njia ya wanao kwenda Mbagala badala ya kwenda kuzunguka kipati kama sheria inavyo sema na hakuna anae wakamata sasa wanasababisha kushindwa kupita kwa wenye haki kwenda mbagala, foleni inasababisha na uzembe wetu na kuwarubuni wana usalama Bara barani.
sasa hapo kosa la nani? mengi tunayafanya weneyewe kwa makusudi kabisa, bara bara inatosha kabisa kama wengi tutajali usalama na sheria za bara barani.
Wakati mwingine tembeeni kuboresha afya, unakaa kwenye gari mpaka unavundaKufika Rangi3 unaweza kutumia saa 2 mpaka 3 kipande cha km1 tu. Nini kifanyike ili kunusuru tatizo hilo.
Kwenye kugombania hapo, kwa sasa ni almost kila sehemu. Mbagala ilianza.😂😂😂 mkuu naona unatetea masilahi ya nyumbani ! Mbagala changamoto yake ni usafiri ! Iwe mwendo kasi au isiwe bado usafiri ni wa kugombania !
Kuna siku pale Bandari panakuwa na foleni, mpaka muikamate hizo JKT 1&2 mnakuwa mmekaa haswa.Mbona kutoka mjini mpaka uhasibu hakuna foleni ya kutisha? Ni wazi madereva,bodaboda na machinga ndio tatizo.
Hivi Dar kuna sehemu wanaingia bila kugombania? Labda huko Masaki to Masaki.Kwenye kugombania hapo, kwa sasa ni almost kila sehemu. Mbagala ilianza.
Solution ni kuzijenga kwa lami feeder roads. Mfano hicho kipande cha Kipati hadi rangi 3, ile barabara ya kupitia maturubai hadi kwenye magodouni iwekwe lami, na ifike kwenye kanisa la Mwingira. Ya kijichi nayo, kuanzia KTM hadi Mbagala kuu ijengwe vizuri. Ya kutoka njia panda nzasa hadi buza kupitia kwa mpalange nayo ìkiisha itapunguza sana foleni ya rangi 3.Kwanza kuna tofauti kati ya mwendokasi ya Gerezani na maeneo mengine ya Morogoro rd ba na Gerezani na Mbagala.
Mbagala kuna gari nyingi sana, afu pia njia kuu Kilwa rd ndio inayotumia kwa daladala kupakia abiria. Mfumo huu ni mbaya sana kwani unasababisha foleni kwa sababu njia ya kupita vyombo vingine vya usafiri inabaki ndogo.
Kwa sasa askari wa usalama barabarani inabidi aruhusu magari mengine kuchepukia kwenye mwendo kasi ili kuuwa foleni. Kwa sasa barabara ya mwendokasi imefungwa na mkandarasi sababu ya marekebisho foleni inaanza Rangi3 mpaka Kipati. Kufika Rangi3 unaweza kutumia saa 2 mpaka 3 kipande cha km1 tu. Nini kifanyike ili kunusuru tatizo hilo.
Serikali ijenge kutuo kitakachomeza daladala zote kama ilivyo mbezi. Yani isionekane daladala yeyote ikipakia abiria njiani. Hii italeta manufaa kwa sababu magari mengine yatapita kwa uhuru.
Kwa sababu kituo cha mwendokasi Mbagala ni kikubwa basi serikali igawanye, kuwe na stendi ya daladala, stendi ya mwendokasi na stendi ya magari ya mikoani.
Bila hivyo tutashuhudia kero baadae baada ya kukamilisha mradi.
Mbagala hakuna mipango miji itakayowezesha magari mengine kuchepuka, njia kuu ni moja tu, Kilwa rd.
Unajua kwa vile Mbagala ilikuwa ya kwanza basi watu wameweka kichwani. Nenda pale red cross kwa magari ya Mwenge jioni ni hatari. Tena hao ni wale wa kugeuza nayoHivi Dar kuna sehemu wanaingia bila kugombania? Labda huko Masaki to Masaki.
Maana hata wa Masaki kutokea Ubungo enzi hizo mie niliacha bado Ubungo ipo, walikuwa wanagombania vizuri.
Hata Mawasiliano wanagombania hao waenda mitaa ya Masaki
Kwanin mwendokasi ya Morogoro road imeondoa daladala zoteMwendokasi ikianza kazi mwaka kesho daladala zote zinahamishwa njia
Serikali ifikirie zaidi kwenye service road maana zimegeuka stendi na parking
Mbagala wanaishi uncivilised peopleBara bara iko sawa shida ni watumiaji mkuu, 1 wafanya biashara wapo mpaka bara barani unategemea nini? 2 Dala dala zitapunguzwa bada ya mwendo kasi kuwepo rejea njia zilizopitishwa mwendo kasi. 3 Serekali wenyewe mipango yao ndio mibuvu kunauwezekano mkubwa sana wakutengeneza njia mbadala zipo kusaidia kupunguza mzigo wa magari ktk njia kuu lakiniwao wameamua kukaa kimya na hatuwezi kuwa kosea. 4 Madereva wa hiyo njia wana jiamulia wanalotaka kufanya njiani bila woga na trafiki akija wanayaongea yanaisha.
Mfano kila asubuhi hapo kituo cha Mission kun gari zinatoka upande wa kulia zina lazimisha kuja kwenye kipita shoto kwa kuja kwenye njia ya wanao kwenda Mbagala badala ya kwenda kuzunguka kipati kama sheria inavyo sema na hakuna anae wakamata sasa wanasababisha kushindwa kupita kwa wenye haki kwenda mbagala, foleni inasababisha na uzembe wetu na kuwarubuni wana usalama Bara barani.
sasa hapo kosa la nani? mengi tunayafanya weneyewe kwa makusudi kabisa, bara bara inatosha kabisa kama wengi tutajali usalama na sheria za bara barani.
Duuh 😲😲Hakuna mtu mwenye akili zake anayeishi mbagala
Yaani gari zinapakilia BarabaraniMbagala hakuna foleni ila foleni inasababishwa na machinga na madereva wapuuzi wanaosimamisha barabarani kupakia abiria
Asilimia kubwa ya watu wanaoishi mbagala hawajielewi, barabara ya mwendo kasi wanamenyea maembe wanachomea mahindi yaani tabu tupuYaani gari zinapakilia Barabarani
Nimeshangaa pia kuona barabara ya Mwendokasi ni chafu kupita kiasi, na ishaanza kubomolewa mule pembeni kwenye Kuta ingali bado ni mpya..
Yaani ni tofauti kabisa na Barabara ya Kimara Mbezi ambayo pia iaendelea na ujenzi.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Huwa nikisema Mbagala wanaishi wajinga na uncivilised watu wanakasirika. Kuna maeneo hayakupaswa kuwa sehemu ya Dar.Yaani gari zinapakilia Barabarani
Nimeshangaa pia kuona barabara ya Mwendokasi ni chafu kupita kiasi, na ishaanza kubomolewa mule pembeni kwenye Kuta ingali bado ni mpya..
Yaani ni tofauti kabisa na Barabara ya Kimara Mbezi ambayo pia iaendelea na ujenzi.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Unakujua Mbagala au unasimuliwa?Hakuna mtu mwenye akili zake anayeishi mbagala