Mwendokasi Mbagala ukikamilika utasababisha foleni ya kihistoria, Serikali ichukue hatua hizi mapema

Mwendokasi Mbagala ukikamilika utasababisha foleni ya kihistoria, Serikali ichukue hatua hizi mapema

Mbagala hakuna foleni ila foleni inasababishwa na machinga na madereva wapuuzi wanaosimamisha barabarani kupakia abiria
Mkuu kuna magari yanayoshusha nafaka toka mikoani, nayo yanakula sana nafasi. Serikali ilitizame mapema sana bafae janga
 
ila kule kuna aina flani ya watu ambao hawaelewagi wala kujiongeza ukitaka kule kuwe na maendeleo inabidi serikali ishike viboko la sivyo hakuna kitakachoendelea

Kule wangetawaliwa na katili mmoja akawatungia sheria zake akili zingewakaa sawa,niseme tu hawana akili
 
Yaani gari zinapakilia Barabarani
Nimeshangaa pia kuona barabara ya Mwendokasi ni chafu kupita kiasi, na ishaanza kubomolewa mule pembeni kwenye Kuta ingali bado ni mpya..
Yaani ni tofauti kabisa na Barabara ya Kimara Mbezi ambayo pia iaendelea na ujenzi.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Sema kweli tunaishi Mbagala lakini binadamu aliestarabika hapaswi kuishi.
Mbagala inaongoza kwa uchafu. Barabara ya mwendokasi katikati imechafuliwa na wauza miwa, machinga na wengine.
 
Kwa mara ya kwanza nilikanyaga mbagala mwaka 1990 nikielekea chamazi kule uvikiwata nimeishu huko kiezi miwili pakanishinda nikaacha kodi yangu ya miezi minne
Sasa Mbagala ya 1990 tena..!!! Hivi unaijua ubungo ya pale kijazi ya mwaka 1994 kwamba palikuwa panauzwa miche ya migomba, michungwa etc..!? Leo hii unaweza ukabisha kwamba ndo pale pa 1994
 
Sema kweli tunaishi Mbagala lakini binadamu aliestarabika hapaswi kuishi.
Mbagala inaongoza kwa uchafu. Barabara ya mwendokasi katikati imechafuliwa na wauza miwa, machinga na wengine.
And they're are just comfortable
Wamezungukwa na uchafu Barabara,, wauza miwa wapo katikati ya barabara ya Mwendokasi..
Pachaaaafu.
Aiseee, Mbagala kuna hekaheka 🙌
 
Huwa nikisema Mbagala wanaishi wajinga na uncivilised watu wanakasirika. Kuna maeneo hayakupaswa kuwa sehemu ya Dar.

MTU WA uswahili Tandale ana ustaarabu kuliko MTU WA Mbagala. Wale jamaa wako kama wanyama.
Kwa ule uchafu kweli hawajastaarabika.
Barabara wameichafua kiasi kile! Na wameshaanza kuichakaza lol!
 
Back
Top Bottom