Mwendokasi Mbagala ukikamilika utasababisha foleni ya kihistoria, Serikali ichukue hatua hizi mapema

Mwendokasi Mbagala ukikamilika utasababisha foleni ya kihistoria, Serikali ichukue hatua hizi mapema

Yani ulinganishe Mbweni na Chamazi,

Vijana WA Mbagala hizo bangi mnazovuta inabidi serikali izipige marufuku. Taifa Lina vijana wa hovyo.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Nakutajia miji katika mfanano wewe unaleta Ushindani na jufikiri kila anayepazungumzia vizuri Mbagala Basi ni MKAZI wa Mbagala .Sasa neno Mbweni Maputo kafananishe na Mbagala Chamanzi halafu uje kueleza hapi wapi Pazuri .
Maana Mbweni Maputo ni Pachafu vibaka na Gongo hovyo hovyo Wala hutoweza fananisha na Chamanzi .
 
Huna unalojua shwain

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Daladala zifuatazo zitapigwa marufuku pindi tu mwendo kasi itaanza safari zake.

1: Daladala za Mbezi <>Mbagala
2: Daladala za Ubungo<>Mbagala
3: Daladala za Kariakoo <> Mbagala
4: Daladala za Kawe <> Mbagala
5: Daladala za Msasani <> Mbagala
6: Daladala za Makumbusho<>Mbagala

Next season 2027

7: Daladala za G.Mboto <>Mbagala

Kama foleni itakuwepo, itakuwa kwa kiwango kidogo sana.
Kwa hiyo nikitaka kwenda Kawe napanda wap hadi wapi? Na nauli itakuwa shi ngap? Je kati ya mwendokasi na daladala unafuu uko wapi?
 
Japo nimezaliwa dar hapa hapa ila kwenye maisha yangu Mbagala nimefika mara moja tu. Nitajitahidi nizunguke nipaone kwa usahihi zaidi pakoje!
Mara ya kwanza kutoka Mbagala kwenda makumbusho nilihisk makumbusho na wilaya ya Kinondoni sio Dar. Mbagala wanawake na wasichana mavazi makuu vijora na madera tu. Hata kama demu ana shep imefichwa kwenye dera, ukienda Kinondoni, unakuta sket fupi paja nje utamu kama wote. Kijana alietoka Mbagala lazima akodoe macho kwa demu atakaekatisha mbele yake sababu mambo yote mageni.
 
Na jambo la kumshukuru mkandarasi wa ile njia amepatia sana kuwawekea vituo visivyozibwa kwa vioo kama njia zingine.
Bila hivo Serikali ingepata hasara.
Tena ikiwezekana wapelekewe na mabasi yenye wavu madirishani maana wale watu wanajijua.
Nani kakuambia kua havijazibwa kwa vioo ,kazi ya kuweka frem za vioo imeanza juzi
 
Siasa bhana, vikindu ni pwani, mkoa wa pwani haina hiyo hela ya kujenga mradi makubwa kama huo
Tanzania hakuna stendi kubwa iliyojengwa kwa mapato ya halmashauri kwa 100% ni pesa za serikali kuu
 
Yaani gari zinapakilia Barabarani
Nimeshangaa pia kuona barabara ya Mwendokasi ni chafu kupita kiasi, na ishaanza kubomolewa mule pembeni kwenye Kuta ingali bado ni mpya..
Yaani ni tofauti kabisa na Barabara ya Kimara Mbezi ambayo pia iaendelea na ujenzi.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Wameanza kufanya usafi mkuu
 
Tanzania hakuna stendi kubwa iliyojengwa kwa mapato ya halmashauri kwa 100% ni pesa za serikali kuu
Shida kwa halmashauri sasa, mvutano kati ya za Dar na za Pwani, kila mmoja anataka ijengwe kwake ili avune pesa ndio maana hakuwezi kuwa na mradi kama huo labda magufuli angekuepo
 
Shida kwa halmashauri sasa, mvutano kati ya za Dar na za Pwani, kila mmoja anataka ijengwe kwake ili avune pesa ndio maana hakuwezi kuwa na mradi kama huo labda magufuli angekuepo

Mradi uko mbioni vikindu stendi ya mabasi ya mikoa ya kusini
 
Mwendokasi ikianza tegemea daladala kupotea,zitabaki chache sana,maana almost ruti zote za daladala zitakufa,daladala zitakuwa zinaanzia mwisho wa mendokasi kwenda swekeni huko mfano kingugi,kulingule etc,na mbagala foleni kubwa inaletwa na daladala sababu idadi ya wenye magari binafsi si wengi kulinganisha na wanaotegemea daladala,kwahiyo kwa mtazamo wangu ikianza mwndokasi wenye magari binafsi ndo wafaidika sana sababu barabara yap itakuwa nyeupe,na wale wanaotegemea daladala wote watategemea mwndokasi bdo hapo vita ya kupandia dirishani itapamba moto
 
Stend ya magari ya mikoani itajengwa mwandege

Pia barabara itapanuliwa njia nne hadi vikindu
Tatizo wachangiani humu wengi ni ujuaji tuu hata hiyo mbagala hawaijui kabisaa.Mwingine anasema ndio kwanza kapita jana naona mwingine anasema ameshafika mara 1 tu.
Ila mbagala ya leo sio mbagala ilee..
 
Back
Top Bottom