KOLOKOLONI
JF-Expert Member
- Mar 7, 2014
- 2,476
- 2,371
Tukumbuke Mbagala rangi tatu ni soko kubwa Sana ambalo limekuwa attached na Barabara kuu .Sokoni hakuna usafi wa ndiyo maana hata KARIAKOO huwa ni pachafu . Uchafu wa rangi tatu ni soko na shida kuu Machinga hawajawekewa Mahali maalum hivyo wamekaa hovyo hovyo .Uzembe wa Utawala wa soko unafanya paonekane hapafai lakini ukitika hapo sokoni rangi tatu Maeneo mengine yapo Safi Sana tu nenda Kongoe,Toangoma ni Kama Mbweni tu,Chamanzi Nyumba Safi katika mpangilio Safi Kabisa, Kijichi sawa tu maeneo yoyote ya VIP Tanzania.
Ukaifananishe maisha ya Sokoni ukafananishe na Mtaani Mnapopazungumzia ni Sokoni vurugu hizo ni Sokoni.
Ukaifananishe maisha ya Sokoni ukafananishe na Mtaani Mnapopazungumzia ni Sokoni vurugu hizo ni Sokoni.