Mwendokasi Mbagala ukikamilika utasababisha foleni ya kihistoria, Serikali ichukue hatua hizi mapema

Mwendokasi Mbagala ukikamilika utasababisha foleni ya kihistoria, Serikali ichukue hatua hizi mapema

Huwa nikisema Mbagala wanaishi wajinga na uncivilised watu wanakasirika. Kuna maeneo hayakupaswa kuwa sehemu ya Dar.

MTU WA uswahili Tandale ana ustaarabu kuliko MTU WA Mbagala. Wale jamaa wako kama wanyama.
Hivi unawajua bodaboda na daladala.. Tanzania nzima hao watu wanafanana akili
 
Kule wangetawaliwa na katili mmoja akawatungia sheria zake akili zingewakaa sawa,niseme tu hawana akili
Sehemu gani Tanzania watu wanaelewa. Tanzania hamna ustaarabu wowote tuache maneno
 
Mwendokasi ikianza tegemea daladala kupotea,zitabaki chache sana,maana almost ruti zote za daladala zitakufa,daladala zitakuwa zinaanzia mwisho wa mendokasi kwenda swekeni huko mfano kingugi,kulingule etc,na mbagala foleni kubwa inaletwa na daladala sababu idadi ya wenye magari binafsi si wengi kulinganisha na wanaotegemea daladala,kwahiyo kwa mtazamo wangu ikianza mwndokasi wenye magari binafsi ndo wafaidika sana sababu barabara yap itakuwa nyeupe,na wale wanaotegemea daladala wote watategemea mwndokasi bdo hapo vita ya kupandia dirishani itapamba moto
Yan kwa kifupi daladala zitakua za Gerezan-Kisemvule (pwani), Gerezani - Tuangoma (kigamboni) hiz zote hazisimami Mbagala bali zinapita
 
Sehemu gani Tanzania watu wanaelewa. Tanzania hamna ustaarabu wowote tuache maneno
Watanzania hawana akili ila mbagala wamezidi,unajua kimara yote haijapimwa ila unaweza kuona utofauti wa ustaarabu wa hizo sehemu mbili
 
Nakutajia miji katika mfanano wewe unaleta Ushindani na jufikiri kila anayepazungumzia vizuri Mbagala Basi ni MKAZI wa Mbagala .Sasa neno Mbweni Maputo kafananishe na Mbagala Chamanzi halafu uje kueleza hapi wapi Pazuri .
Maana Mbweni Maputo ni Pachafu vibaka na Gongo hovyo hovyo Wala hutoweza fananisha na Chamanzi .
Mbweni....


 
Watu wa mipango miji huwa wanafanya nini kwenye hii nchi.
 
Daladala zifuatazo zitapigwa marufuku pindi tu mwendo kasi itaanza safari zake.


1: Daladala za Mbezi <>Mbagala
2: Daladala za Ubungo<>Mbagala
3: Daladala za Kariakoo <> Mbagala
4: Daladala za Kawe <> Mbagala
5: Daladala za Msasani <> Mbagala
6: Daladala za Makumbusho<>Mbagala

Next season 2027

7: Daladala za G.Mboto <>Mbagala

Kama foleni itakuwepo, itakuwa kwa kiwango kidogo sana.
Hadi 2030
Dar itakuwa imejiset vizuri sana
 
Kwamba mmekaa ndani ya daladala masaa matatu kipati to rangi 3 hamjashuka kutembea??
 
Hivi Dar kuna sehemu wanaingia bila kugombania? Labda huko Masaki to Masaki.

Maana hata wa Masaki kutokea Ubungo enzi hizo mie niliacha bado Ubungo ipo, walikuwa wanagombania vizuri.
Hata Mawasiliano wanagombania hao waenda mitaa ya Masaki
Stand ya mbezi mwisho tuna ustaarabu sana, mwendokasi ni foleni tunapanga, daladala watu wanapanga foleni. Huko Mbagala hata nipewe ghetto bure siwezi kuishi.
 
Nadhani Morogoro Road iwe trademark ya ujenzi wa barabara nyingi za dar, katika barabara ambazo hutakaa uone tena foleni ni Morogoro road, kwa kweli sisi tunafurahia, stress zimepungua kwa asilimia kubwa.

Barabara ya Bagamoyo ina nafasi kubwa, wajenge kitu kinachoeleweka, sio ujenzi unafanyika then 5yrs later watu wanakaa na kuwaza naman ya kuipanua barabara. Kuwe n njia za muingiliano, kuwe na underpass/overpass za kutosha, feeder roads za kutosha hatutaona misongamano isiyo na sababu.
 
Hivi Dar kuna sehemu wanaingia bila kugombania? Labda huko Masaki to Masaki.

Maana hata wa Masaki kutokea Ubungo enzi hizo mie niliacha bado Ubungo ipo, walikuwa wanagombania vizuri.
Hata Mawasiliano wanagombania hao waenda mitaa ya Masaki
Nenda stand ya Mbagala pale rangi tatu utakuja kufuta ulichoandka.

Utasema hawa ni binadamu au vichaa.

Sijapata kuona sehemu ya Hovyo kama mbagala
 
Panda daladala ya Mbagala halafu nenda kapande daladala inayoenda Tegeta au bunju.

Mbagala basi Zima unaweza usione pisi Kali hata moja. Wanawake wamevaa madela yamechomekewa kwenye chupi. Sura zimeharibika. Vijana wamechoka.

Ila daladala za Sinza, Tegeta, Makongo juu unakuta pisi nzuri zinanukia, hata kama basi limejaa husikii mijasho. Ustaarabu upo Kwa kiasi chake.


Mbagala MTU kwenye basi anaweza kutoa tusi ukabaki unashangaa.

Mbagala itolewe Dar iwe sehemu yake

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Waarabu wakitubagua tunalalamika wakati sisi ndio tunaongoza kubaguana kwanini unawabagua Wanawake waishio mbagala kwa kuwaita wana sura mbaya?
Ni kweli mbagala ya ovyo ila sio vizuri kuanza ubaguzi wa kijinsia
 
Nenda stand ya Mbagala pale rangi tatu utakuja kufuta ulichoandka.

Utasema hawa ni binadamu au vichaa.

Sijapata kuona sehemu ya Hovyo kama mbagala
Punguza mdomo wewe mbagala ni ya ovyo lakini usiongee usivyo vijua sehemu ina matawi ya bank zaidi 7 unawaita wenzako vichaa?
Kuna frem mpaka za 1.5mil kuna kichaa anaweza kupanga?
Sisi tunaongelea kadhia ya foleni na mwendo kasi lakini wewe umevuka mipaka mipaka unaanza kutukana wakazi wa mbagala.
NB:huo mji unaouita wa vichaa una mzunguko mkubwa wa pesa kuliko mbweni,tegeta na goba
 
Back
Top Bottom