Mwendokasi Mbagala ukikamilika utasababisha foleni ya kihistoria, Serikali ichukue hatua hizi mapema

Stend ya magari ya mikoani itajengwa mwandege

Pia barabara itapanuliwa njia nne hadi vikindu
Siasa bhana, vikindu ni pwani, mkoa wa pwani haina hiyo hela ya kujenga mradi makubwa kama huo
 
Bado magari makubwa ya kubeba nafaka, yanasimama kushusha
 
Shida Kilwa Road ina mshikamano wa watu wengi.

Ukiikatia hapo mataa ya Uhasibu, ndo unawakuta wa Kwa Aziz, Mtongani, Kijichi, Mbagala, Chamazi, Mbande, kule mbele ya Mbande sijui kunaitwaje, bado Kongowe, na mpka kule mbele kwake ‘sijui ndio Tuangoma.

Heee jamani poleni.
 
Kwenye kugombania hapo, kwa sasa ni almost kila sehemu. Mbagala ilianza.
Hivi Dar kuna sehemu wanaingia bila kugombania? Labda huko Masaki to Masaki.

Maana hata wa Masaki kutokea Ubungo enzi hizo mie niliacha bado Ubungo ipo, walikuwa wanagombania vizuri.
Hata Mawasiliano wanagombania hao waenda mitaa ya Masaki
 
Solution ni kuzijenga kwa lami feeder roads. Mfano hicho kipande cha Kipati hadi rangi 3, ile barabara ya kupitia maturubai hadi kwenye magodouni iwekwe lami, na ifike kwenye kanisa la Mwingira. Ya kijichi nayo, kuanzia KTM hadi Mbagala kuu ijengwe vizuri. Ya kutoka njia panda nzasa hadi buza kupitia kwa mpalange nayo ìkiisha itapunguza sana foleni ya rangi 3.
Kuanzishwe barabara toka maeneo ya viwanja vya Zakhemu ije itokee mitaa ya kokoto. kwa sasa kuna kiuchochoro tu, ambacho hakiruhusu kupishana
 
Hivi Dar kuna sehemu wanaingia bila kugombania? Labda huko Masaki to Masaki.

Maana hata wa Masaki kutokea Ubungo enzi hizo mie niliacha bado Ubungo ipo, walikuwa wanagombania vizuri.
Hata Mawasiliano wanagombania hao waenda mitaa ya Masaki
Unajua kwa vile Mbagala ilikuwa ya kwanza basi watu wameweka kichwani. Nenda pale red cross kwa magari ya Mwenge jioni ni hatari. Tena hao ni wale wa kugeuza nayo
 
Mbagala wanaishi uncivilised people


MTU mwenye akil yako huwezi kwenda kuishi Mbagala
 
Mbagala hakuna foleni ila foleni inasababishwa na machinga na madereva wapuuzi wanaosimamisha barabarani kupakia abiria
Yaani gari zinapakilia Barabarani
Nimeshangaa pia kuona barabara ya Mwendokasi ni chafu kupita kiasi, na ishaanza kubomolewa mule pembeni kwenye Kuta ingali bado ni mpya..
Yaani ni tofauti kabisa na Barabara ya Kimara Mbezi ambayo pia iaendelea na ujenzi.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Asilimia kubwa ya watu wanaoishi mbagala hawajielewi, barabara ya mwendo kasi wanamenyea maembe wanachomea mahindi yaani tabu tupu
 
Huwa nikisema Mbagala wanaishi wajinga na uncivilised watu wanakasirika. Kuna maeneo hayakupaswa kuwa sehemu ya Dar.

MTU WA uswahili Tandale ana ustaarabu kuliko MTU WA Mbagala. Wale jamaa wako kama wanyama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…