Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Mwendokasi ni hatari sana kwa afya, ebola iko hapo mlangoni tuHamjambo!
Leo nimetoka Kariakoo saa mbili hivi. Nikapanda Mwendokasi. Aiseeh! Nimenyooshwa mgongo, mbavu zimebinywa, shingo imekandamizwa, kiuno kimebamizwa, miguu imekanyagwa.
Mwendo wa nusu saa tuu. Yale maumivu ya kifua, na mgongo yaliyokjwa yananisumbua siku nyingi kutokana na kazi yangu ya kukaa muda mrefu, nikiandika. Maumivu yote yameisha.
Mwendokasi ni tiba. Mwendokasi ni therapy halisi.
Nimemaliza
TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
ok.🐒Hamjambo!

😅😅😅Natamani sana siku nije Dar, nikipaona kwenye tv navutiwa napo mno
Umenikumbusha tukiwa wadogo, mama akisema jiandaeni kesho mtaenda dar hatulali😅Natamani sana siku nije Dar, nikipaona kwenye tv navutiwa napo mno
Sijawahi kupata hii bahati aiseeHaukutegeshewa mzigo ?
Ukipanda simama kwa malengo 😅Sijawahi kupata hii bahati aisee
Aachie siti wazeeUkipanda simama kwa malengo 😅
Si ndiyo, mtu unataka fursa na unang'ang'ania siti kweliAachie siti wazee
Hahaha,Nimenyooshwa mgongo, mbavu zimebinywa, shingo imekandamizwa, kiuno kimebamizwa, miguu imekanyagwa.
Imagine mm nna age ya 35 na Cjawah kutoka nje ya hapa Arusha 😭Umenikumbusha tukiwa wadogo, mama akisema jiandaeni kesho mtaenda dar hatulali😅
Haina haja kama hakuna sababu ya kutoka BwasheeImagine mm nna age ya 35 na Cjawah kutoka nje ya hapa Arusha 😭