Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
- Thread starter
- #41
Je ulilinda mgongo wako
Usiwe na fikra hizo Mkuu
Je ulilinda mgongo wako
mku kukodi bajaji uliogopa kugongwa na mwendokasi
Hatari sana.Yaani Ebora ikiingia Dar kwa mwendokasi tutaambukizana mno
Duuh kumbe!
Basi Wacha kesho nikauze huyu ndama wangu mgonjwa nifunge safari nije ni pande hiyo mwendokasi
Labda Mbagala kutokea Posta. Ile ya Gerezani ukipanda mbungi yake utataja rangi zote 3 za Mbagala!
Inabidi ukapande tena ili wakunyooshe.Hatari sana. Nimemka shingo inauma balaa
Cha Dar ipojeKama unatumia CHA ARUSHA bora usije Dar
Inabidi ukapande tena ili wakunyooshe.
Na lifahamu hilo mkuu, jam kama yote.Usisahau muda ni jioni kuanzia saa moja na nusu mpaka tatu kamili.
Hapo therapy utapata kwa buku tuu
Kumbe ni massage iyoHamjambo!
Leo nimetoka Kariakoo saa mbili hivi. Nikapanda Mwendokasi. Aiseeh! Nimenyooshwa mgongo, mbavu zimebinywa, shingo imekandamizwa, kiuno kimebamizwa, miguu imekanyagwa.
Mwendo wa nusu saa tuu. Yale maumivu ya kifua, na mgongo yaliyokjwa yananisumbua siku nyingi kutokana na kazi yangu ya kukaa muda mrefu, nikiandika. Maumivu yote yameisha.
Mwendokasi ni tiba. Mwendokasi ni therapy halisi.
Nimemaliza
TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Sijui ni mradi gani wa Serikali yetu ya Mama, unafanya vizuri?Mimi huwa naona huu usafiri umetushinda.Ni bora hizo barabara tukazitumia watu wote tu na siyo kutumia mabasi pekee ambaye yameshindwa kufanya kazi ipasavyo.
Hakuna hata mmojaSijui ni mradi gani wa Serikali yetu ya Mama, unafanya vizuri?
Kumbe ni massage iyo
Moja ya miradi ya kijinga ni huu wa mwendokasi
Ulihofia kuchelewa sababu ya vituo vingi?😆😆😀🫢
Enzi za ujana wangu sipandi daladala ambayo haijajaa
Ulihofia kuchelewa sababu ya vituo vingi?