Jamaldini pie
Senior Member
- Apr 13, 2017
- 162
- 120
Uchambuzi
😂😂😂
jina kuu la nani ?Kwenye walalahoi nakukemea kwa jina kuu ushindwe
Haha 😂sad ending
🤣🤣🤣 ffsTulisukumana kama mizimu iliyoshtuliwa na mchawi
Hivi dar mnajivunia kwa lipi..?
Nimemaliza Baba yenu CLEMENCE MWANDAMBO
Hakikisha unasimama kimkakatiSijawahi kupata hii bahati aisee
Hahaha tutapukutika🤣🤣Mwendokasi ni hatari sana kwa afya, ebola iko hapo mlangoni tu
Yale magari kinachosaidia yanasafiri kwa muda mfupi,ila muda ungekuwa hauzingatiwi,ukifika mwisho wa safari unaweza kujikuta mgonjwa maana si kwa mbinyano ule...Hamjambo!
Leo nimetoka Kariakoo saa mbili hivi. Nikapanda Mwendokasi. Aiseeh! Nimenyooshwa mgongo, mbavu zimebinywa, shingo imekandamizwa, kiuno kimebamizwa, miguu imekanyagwa.
Mwendo wa nusu saa tuu. Yale maumivu ya kifua, na mgongo yaliyokjwa yananisumbua siku nyingi kutokana na kazi yangu ya kukaa muda mrefu, nikiandika. Maumivu yote yameisha.
Mwendokasi ni tiba. Mwendokasi ni therapy halisi.
Nimemaliza
TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Yale magari kinachosaidia yanasafiri kwa muda mfupi,ila muda ungekuwa hauzingatiwi,ukifika mwisho wa safari unaweza kujikuta mgonjwa maana si kwa mbinyano ule...
Humo kina dada wanakatiwa shanga sana
Kwani huyu si Me au?Haukutegeshewa mzigo ?
Ndiyo mkuu si ndiyo maana nimeuliza hivyoKwani huyu si Me au?
😂🤣Namaanisha ule mbanano na purukushani za mule shanga za kina dada zinakatika sana......siyo ukatikaji huo mwingine(ushetani).Tatizo taa zinawaka. Alafu unajua ushetani na taa ni kama maji na mafuta
Ahaa, nilijuwa yeye ndio ategeshewe mgongoni kwake, kumbe nilielewa vibaya..Ndiyo mkuu si ndiyo maana nimeuliza hivyo