Maeneo mengi duniani kwenye miji mikubwa mfano New York au Tokyo ni hali ya kawaida watu kusongamana kwenye vyombo vya usafiri vinavyojaza walalahoi.Mwendokasi ni tiba. Mwendokasi ni therapy halisi
Maeneo mengi duniani kwenye miji mikubwa mfano New York au Tokyo ni hali ya kawaida watu kusongamana kwenye vyombo vya usafiri vinavyojaza walalahoi.Mwendokasi ni tiba. Mwendokasi ni therapy halisi
Unasadia wapi wakati serikali imejitengenezea barabara za kupita kama lengo lilikuwa ni kupunguza foleni hamna ulichosaidiaMradi unasaidia sana. Mapungufu machache hayakosekani.
Mtani ulishapanda mwendokasi wewe?
Wote mnaminywa tu...😅😅😅😅
Na wanawake wanafanywaje??
Nshapata therapy sana 😂😂😂Mtani ulishapanda mwendokasi wewe?
Dah 😅Wote mnaminywa tu...
Tena ukikaa vibaya na masikio yatapona, hakika ukiziwi utakutokaDah 😅
Ule moto sio wakawaidaNshapata therapy sana 😂😂😂
Therapy miksa saunaUle moto sio wakawaida
Ulipanda ukiwa unaenda wapi lakini? Najua hakuna ruti ya Masaki wala OysterbayTherapy miksa sauna
Masaki dear 😂😂Ulipanda ukiwa unaenda wapi lakini? Najua hakuna ruti ya Masaki wala Oysterbay
Unasadia wapi wakati serikali imejitengenezea barabara za kupita kama lengo lilikuwa ni kupunguza foleni hamna ulichosaidia
Wanaoendelea kuponda mwendokasi acha waponde tu
Ila tunakula kiyoyozi safi , Gari inanesa ..unasahau joto la Dar kwa muda.
Maeneo mengi duniani kwenye miji mikubwa mfano New York au Tokyo ni hali ya kawaida watu kusongamana kwenye vyombo vya usafiri vinavyojaza walalahoi.
😅😅😅😅
Na wanawake wanafanywaje??
Therapy miksa sauna
😂😂😂 Navaa chuma !Jichanganye siku moja nikukute kwenye mwendokasi. Utajua hujui.
Tatizo la mwendokasi linafika haraka. Sasa wale wazee wa kazi hawazifagilii wala nini.