Mwendokasi ni zaidi ya physical therapy. Leo nimetibiwa

Hamjambo!

Leo nimetoka Kariakoo saa mbili hivi. Nikapanda Mwendokasi. Aiseeh! Nimenyooshwa mgongo, mbavu zimebinywa, shingo imekandamizwa, kiuno kimebamizwa, miguu imekanyagwa.

Mwendo wa nusu saa tuu. Yale maumivu ya kifua, na mgongo yaliyokjwa yananisumbua siku nyingi kutokana na kazi yangu ya kukaa muda mrefu, nikiandika. Maumivu yote yameisha.

Mwendokasi ni tiba. Mwendokasi ni therapy halisi.

Nimemaliza

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Yaani Ebora ikiingia Dar kwa mwendokasi tutaambukizana mno
 
Mwendokasi ya wapi hio? Maana ya huku kwetu Mbagala ni full AC na hamna kugombania. Ila maisha haya,watu walijua mwendokasi ya Mbagala itakuwa vurugu kugombania lakini imekuwa kinyume chake, Mbagala kuna ustaarabu kuliko njia ya Kimara. Ngoja ya Tegeta nayo ianze mteguane viuno.
Labda Mbagala kutokea Posta. Ile ya Gerezani ukipanda mbungi yake utataja rangi zote 3 za Mbagala!
 
Mwendokasi ya wapi hio? Maana ya huku kwetu Mbagala ni full AC na hamna kugombania. Ila maisha haya,watu walijua mwendokasi ya Mbagala itakuwa vurugu kugombania lakini imekuwa kinyume chake, Mbagala kuna ustaarabu kuliko njia ya Kimara. Ngoja ya Tegeta nayo ianze mteguane viuno.
Mi nadhani ile ya Mbagala iko poa sana kwakuwa bado wanachuana na dala dala.
Lakini huko Kimara naona hata daladala hazitoshi au hazipo kabisa.
Siku wakilogwa kusitisha daladala za Kisemvule, Kisewe, Toangoma na Kitonga utasikia mayowe kila kona.
 
Mwendokasi ya wapi hio? Maana ya huku kwetu Mbagala ni full AC na hamna kugombania. Ila maisha haya,watu walijua mwendokasi ya Mbagala itakuwa vurugu kugombania lakini imekuwa kinyume chake, Mbagala kuna ustaarabu kuliko njia ya Kimara. Ngoja ya Tegeta nayo ianze mteguane viuno.
Subirini ianze mbagala kwenda moroko mtafikiwa
 
Katika maandalizi hayo niliwahi kumpiga mtoto wa jirani nikiamini kesho yake tutasepa kwenda dar...duuu safari si ikaahirishwa...hakuna rangi sikuona!!
Una ukute ulikua haumudu pambano lake , wewe ukimwotea ukijua kesho mnasepa😅
 
Mwendokasi ya wapi hio? Maana ya huku kwetu Mbagala ni full AC na hamna kugombania. Ila maisha haya,watu walijua mwendokasi ya Mbagala itakuwa vurugu kugombania lakini imekuwa kinyume chake, Mbagala kuna ustaarabu kuliko njia ya Kimara. Ngoja ya Tegeta nayo ianze mteguane viuno.

Mwendokasi ya Mbezi kimara ni hatari sana.
Humo ukileta mzaha unapoteza maisha
 
Back
Top Bottom