Sahihi😂🤣Namaanisha ule mbanano na purukushani za mule shanga za kina dada zinakatika sana......siyo ukatikaji huo mwingine(ushetani).
Mm ndo maana napapenda dar hekaheka zake tu afya inaimarika
Rushwa yaan mradi wa kula rushwa ndo umefanikiwa sanaSijui ni mradi gani wa Serikali yetu ya Mama, unafanya vizuri?