Mwendokasi yaua mtu Ardhi-Kivukoni, chanzo kuchat wakati akivuka barabara

Mwendokasi yaua mtu Ardhi-Kivukoni, chanzo kuchat wakati akivuka barabara

Safi, na vitendo hivi vya KIFEDHULI vya kuzuia haki za wengine kuishi, vinavyoendelea chini ya utawala huu DHALIMU wa CCM vinapaswa kupingwa kwa nguvu zote na kila mpenda haki na mwenye HOFU YA MUNGU.

ITOSHE TU KUSEMA, MITANO YA UTAWALA HUU WA MKONO WA CHUMA SASA BASI...
Mada inahusu mtu kugongwa na mwendokasi. Acha kujitoa ufahamu
 
Hilo ni eneo baya sana, binafsi nimewahi kukoswa kwa dereva kunikwepa, ilhali nilikuwa nimeangalia pande zote na hakukuwa na gari.

Ni kona moja hatari sana, na baada ya hapo mara kadhaa nimeshuhudia watu wakikoswa koswa

Ni BLIND CORNER kwa watembea kwa miguu

Believe and Trust me guys...

USHAURI:
Madereva wawekewe alama ya kupunguza mwendo kwani ni kona ambayo mtemnea kwa miguu haoni
Hapa ndipo nabaki hoi. Tanzania sehemu ya barabara inaweza kuwa mbaya sana na ajali zinatokea lakini hutaona yeyote walau anajaribu kurekebisha chochote. Sana sana watapabatiza jina na kupaita ''machinjioni''. Hiyo sehemu huwa inalalamikiwa sana lakini wahusika ndiyo kwanza hawana habari. Akitoka Magufuli huko akimtumbua mtu kwa uzembe kama huu unasikia malalamiko.
 
Sio tu kuongea na simu,kuna ulimbukeni na ushamba wa kuvaa earphones 24/7 kwa watumiaji wa Barabara
Sana mkuu au unakuta mtu anavuka kama kono kono anangalia mbele tu me huwa ninatamani kuteremka na kuwachapa makofi!
 
Back
Top Bottom