Mwendokasi yaua mtu Ardhi-Kivukoni, chanzo kuchat wakati akivuka barabara

Wana jf.

Leo nimeshuhudia kifo cha ajabu mno. Ilikuwa hivi, MTU mmoja akiwa anatokea maeneo ya postal/ mjini alipofika kwa ofisi ya mwanasheria mkuu alivuka barabara ya kwanza inayotoka na kwenda Kivukoni.

Ghafla bila kuangalia huku akiwa anongea na simu ndipo mwendokasi ikampiga na kumzungusha chini ya uvungu na kukanyagwa na tyre lingine LA mbele, kakanyangwa shingo.

Wakati huo dreva tunamwambia rudi nyuma umekanyaga mtu, yeye akakosa nguvu kabisa arudisha kumbukumbu kurudi nyuma tayari damu nyingi zinachuruzika na mtu ajitingishi.

Mpaka sasa polisi ndio wanafika kuuchukua mwili. Funzo usivuke barabara wakati unaongea na simu, kusikiliza mziki na headphone.
siku ikifika imefika tu apumzike kwa amani.Amina
 
...nimeshagundua hakuna atakaye toka akiwa hai humu duniani. Kuna wanao tutangulia lakini na sisi tuliobaki tunanyofolewa mmoja baada ya mwingine. Kulijua hili kunapaswa kuwafariji waliofiwa kwa kiasi kikubwa.
 
Honi haitoshi. Hata sisi ni madereva. Tunaendesha magari pia. Ukiona mtu hakuni, zaidi ya kupiga honi, inabidi upunguze mwendo ama usimame. Kama dereva alimwona, basi kifo hicho kilikuwa kinazuilika. Magari yanaweza kusimama ghafla. Treni ndio haiwezi.
Marehemu ndiye kajiingiza, hata hivyo haya magari NAyO vimeo sana kwenye breki sio ya kuyaamini hata kama huko kwenye zebra, jamaa kabla ya kumgonga alimpigia honi lakini ndio hivyo sikio LA kufa
 
Wana jf.

Leo nimeshuhudia kifo cha ajabu mno. Ilikuwa hivi, MTU mmoja akiwa anatokea maeneo ya postal/ mjini alipofika kwa ofisi ya mwanasheria mkuu alivuka barabara ya kwanza inayotoka na kwenda Kivukoni.

Ghafla bila kuangalia huku akiwa anongea na simu ndipo mwendokasi ikampiga na kumzungusha chini ya uvungu na kukanyagwa na tyre lingine LA mbele, kakanyangwa shingo.

Wakati huo dreva tunamwambia rudi nyuma umekanyaga mtu, yeye akakosa nguvu kabisa arudisha kumbukumbu kurudi nyuma tayari damu nyingi zinachuruzika na mtu ajitingishi.

Mpaka sasa polisi ndio wanafika kuuchukua mwili. Funzo usivuke barabara wakati unaongea na simu, kusikiliza mziki na headphone.
Rest in peace tuwe waangalifu wakati tunavuka barabara
 
Mungu amrehemu. Pole kwa familia yake. Mwenyezi Mungu alishapanga siku yake ya kuondoka Duniani. Kinachosikitisha ni namna kifo chake kilivyotokea.

Tujifunze kupitia jambo hili, kwa namna moja ama nyingine tunaweza kuona km lingeweza kuepukika lakini kwa jicho la tatu, ilipangwa itokee km ilivyotokea.

Rip.
 
Wana jf.

Leo nimeshuhudia kifo cha ajabu mno. Ilikuwa hivi, MTU mmoja akiwa anatokea maeneo ya postal/ mjini alipofika kwa ofisi ya mwanasheria mkuu alivuka barabara ya kwanza inayotoka na kwenda Kivukoni.

Ghafla bila kuangalia huku akiwa anongea na simu ndipo mwendokasi ikampiga na kumzungusha chini ya uvungu na kukanyagwa na tyre lingine LA mbele, kakanyangwa shingo.

Wakati huo dreva tunamwambia rudi nyuma umekanyaga mtu, yeye akakosa nguvu kabisa arudisha kumbukumbu kurudi nyuma tayari damu nyingi zinachuruzika na mtu ajitingishi.

Mpaka sasa polisi ndio wanafika kuuchukua mwili. Funzo usivuke barabara wakati unaongea na simu, kusikiliza mziki na headphone.
Na usiku huu pale Buguruni kuna mwanaMama/Dada ameigonga treni/garimoshi na kufariki papo hapo
 
Kifo hakina ujuaji wazee! Kama siku yako imefika huchomoi kabisa mjomba,hata ufanye nini malaiki wa kuzimu watakupeleka tu
 
Wabongo tuna tatizo kubwa Sana kwenye kuvuka sehemu isiyo ya zebra, huwa tunajivukia tu vagarant

Ova
 
iwqbongo tumelogwq na bani kwqnini hatupendi zebra ingawaje hazidumu zinafutika haraka
 
Marehemu ndiye kajiingiza, hata hivyo haya magari NAyO vimeo sana kwenye breki sio ya kuyaamini hata kama huko kwenye zebra, jamaa kabla ya kumgonga alimpigia honi lakini ndio hivyo sikio LA kufa
Yale break ni kama tren tu...ndo maana yana vituo maalumu na na njia yake hivo hawez shika break ghafla lazima abiria muumie.
 
Wana jf.

Leo nimeshuhudia kifo cha ajabu mno. Ilikuwa hivi, MTU mmoja akiwa anatokea maeneo ya postal/ mjini alipofika kwa ofisi ya mwanasheria mkuu alivuka barabara ya kwanza inayotoka na kwenda Kivukoni.

Ghafla bila kuangalia huku akiwa anongea na simu ndipo mwendokasi ikampiga na kumzungusha chini ya uvungu na kukanyagwa na tyre lingine LA mbele, kakanyangwa shingo.

Wakati huo dreva tunamwambia rudi nyuma umekanyaga mtu, yeye akakosa nguvu kabisa arudisha kumbukumbu kurudi nyuma tayari damu nyingi zinachuruzika na mtu ajitingishi.

Mpaka sasa polisi ndio wanafika kuuchukua mwili. Funzo usivuke barabara wakati unaongea na simu, kusikiliza mziki na headphone.

airobi kuna wakati ilikua ni kosa kuvuka barabara ukiwa unaongea kwa simu. Niliipenda hiyo sheria
 
Kuna umuhimu wa watu kuelimishwa ni wakati gani wa kuvuka kny zebra crossing, unakuja mtu amekuona umekarobia taa ya kijani inawaka yeye anarusja vi spoke vyake huku anakatika. Kuna wajinga wengine anavuka huku anavhati ma kutembea kwa mbwembwe.

Mtu abakuona umejaribia kwenye midtari yeye Anataka kuvuka.
 
Mpaka nimesisimka aisee
Niliwahi shuhudia kifo kilichotokana na fundi gari kutoa rim ya tairi la lori akiwa kainama analielekea basi lilimrusha mpaka angani na alipotua chini akawa amepasuka anamwaga vitu sijui ndio ubongo.
 
Wana jf.

Leo nimeshuhudia kifo cha ajabu mno. Ilikuwa hivi, MTU mmoja akiwa anatokea maeneo ya postal/ mjini alipofika kwa ofisi ya mwanasheria mkuu alivuka barabara ya kwanza inayotoka na kwenda Kivukoni.

Ghafla bila kuangalia huku akiwa anongea na simu ndipo mwendokasi ikampiga na kumzungusha chini ya uvungu na kukanyagwa na tyre lingine LA mbele, kakanyangwa shingo.

Wakati huo dreva tunamwambia rudi nyuma umekanyaga mtu, yeye akakosa nguvu kabisa arudisha kumbukumbu kurudi nyuma tayari damu nyingi zinachuruzika na mtu ajitingishi.

Mpaka sasa polisi ndio wanafika kuuchukua mwili. Funzo usivuke barabara wakati unaongea na simu, kusikiliza mziki na headphone.
Tunawaona wengi barabarani.
Mtu simu masikioni halafu wala hatazami kuna nini barabarani.
Mchuma si rafiki, wacha watu wajifunze.
 
Back
Top Bottom