EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,708
- 35,719
Madereva wa DART wanajionaga kama waendesha hewani, wapo spidi vifo vingine vinazuilika kama driver angekuwa makini. Udereva ni kuendesha kwa kujihami sio kufuata sheria na haki
I'll ni kweli kabisa MTU unampigia honi hadi unamsukumiza yeye kwa kumkosa kosa anakuonyesha macho kwamba kwani hauoni? Huku yeye alitakiwa kusimamaWatu wa dar es salaam hua wanajifanya wameyazoea magari
Huyo aliyekuwa anaongea yapata SAA 12:04 atashangaa sana, kusikia jamaa ni marehemu. Sijui alikuwa anawahi kivuko au gari za tegeta kivukoni
Tatizo hizi simu nyingine tunasabishiwa na wakina mama zetu, ukipigiwa ukaacha kupokea ukiingia ndani unalo, utasikia ulishindwa mini kupokea au ulikuwa na Malaya zako.Ukiwa nje huko barabarani, simu ya kazi gani hapo mkononi, why usifokasi na kuendesha mwili wako.
madereva wa DART wanajionaga kama waendesha hewani, wapo spidi vifo vingine vinazuilika kama driver anguwa makini. Udereva ni kuendesha kwa kujihami sio kufuata sheria na haki
Honi inapaswa kupigiwa mtu aliye umbali flani ili kumpa mda wa kufanya maamuzi sio umemfikia ndio unapiga honi lazima achanganyikiweYawezekana hata honi ilimchanganya marehemu unajua tena kitu cha ghafla
Mafunzo ya kutumia zebra tumeyagomea kabisa. Hata sisi watu kama kumi hivi tulivuka barabara bila kutumia zebra, wakati zebra IPO hatua tatu. Nimejiona mjinga mno. Kuanziabsasa bila zebra sivuki kabisa.madereva wa DART wanajionaga kama waendesha hewani, wapo spidi vifo vingine vinazuilika kama driver anguwa makini. Udereva ni kuendesha kwa kujihami sio kufuata sheria na haki
atizo hizi simu nyingine tunasabishiwa na wakina mama zetu, ukipigiwa ukaacha kupokea ukiingia ndani unalo, utasikia ulishindwa mini kupokea au ulikuwa na Malaya zako
Honi inapaswa kupigiwa mtu aliye umbali flai ili kumpa mda wa kufanya maamuzi sio umemfikia ndio unapiga honi lazima achanganyikiwe
Unaongelea pale Msimbazi siyo?Kuna sehemu moja kariakoo ipo siku mtasikia hizi mwendokasi zimeua halaiki.
Naombeni mtunze hii comment
Hayo ni magari ya mwendokasi Sasa unategemea aendeshe taratibumadereva wa DART wanajionaga kama waendesha hewani, wapo spidi vifo vingine vinazuilika kama driver angekuwa makini. Udereva ni kuendesha kwa kujihami sio kufuata sheria na haki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]atizo hizi simu nyingine tunasabishiwa na wakina mama zetu, ukipigiwa ukaacha kupokea ukiingia ndani unalo, utasikia ulishindwa mini kupokea au ulikuwa na Malaya zako
Inasikitisha sanaHapo navaa viatu ndo baba wa familia unasubiriwa na wanao kwa bashasha kisha wapewe habari haupo nao tena.....
Huzuni sana na Mungu amrehemu
Ndio maana ya kuitwa mwendo kasi, kumbe pale kivukoni bodaboda wengi wamevunjwa miguu maana ndio njia yao kuu, hata kariakoo bodaboda wanatumia mwendo kasiUnaongelea pale Msimbazi siyo?
Lakini pia haya magari yanafukua mbio hata katikati ya mji.
Kwani sheria ya kutozidi km50 haiwahusu?
Kila Mtu aoe.atizo hizi simu nyingine tunasabishiwa na wakina mama zetu, ukipigiwa ukaacha kupokea ukiingia ndani unalo, utasikia ulishindwa mini kupokea au ulikuwa na Malaya zako