Andika majina ya watu kwa usahihi nachitoko weweWakati Dk Salaa anahama chama, yule dada Pondeza , mlikuwa kila dakika mnaandika katika mitandao kuwakosowa waziwazi.
Lakini hili swala la Kwao kimya, hata kutype tu kwenye account zao zimekuwa ngumu
Hii ndio inampa nguvu Msigwa kuishambulia Chadema.
KUNANINI?
Kwamba, Lissu na Lema ndo wanampa nguvu Msigwa?Wakati Dk Salaa anahama chama, yule dada Pondeza , mlikuwa kila dakika mnaandika katika mitandao kuwakosowa waziwazi.
Lakini hili swala la Kwao kimya, hata kutype tu kwenye account zao zimekuwa ngumu
Hii ndio inampa nguvu Msigwa kuishambulia Chadema.
KUNANINI?
Mwenyekiti wa chadema Taifa anakwenda kukutana na Makamu Mwenyekiti wake Taifa mahakamani kupitia msigwa bila yeye kujua, dahWakati Dk Salaa anahama chama, yule dada Pondeza , mlikuwa kila dakika mnaandika katika mitandao kuwakosowa waziwazi.
Lakini hili swala la Kwao kimya, hata kutype tu kwenye account zao zimekuwa ngumu
Hii ndio inampa nguvu Msigwa kuishambulia Chadema.
KUNANINI?
Tundu Antipas Lisu hawezi kwenda Kinyume na Mbowe hilo nakuhakikishiaMwenyekiti wa chadema Taifa anakwenda kukutana na Makamu Mwenyekiti wake Taifa mahakamani kupitia msigwa bila yeye kujua, dah
lakini pia Msigwa atawasilisha ushahidi mujarabu na vielelezo vyote muhimu vulivyochakatwa vyema na kwa umahiri mkubwa na makamu mwenyekiti wa chadema Taifa dah
patamu hapo
actually,Tundu Antipas Lisu hawezi kwenda Kinyume na Mbowe hilo nakuhakikishia
Mchungaji Msigwa anaiba Siri za CCM anampa Tundu Lisu akiamini Lisu anaelekea ACT Wazalendo ππ
Muda si mrefu ataijua rangi ya Lumumba πΌ
Ulale Unono ππ
Lisu anaenda kumtetea Msigwa kama wakili wake, siyo kama makamu mwenyekiti wa chamaTundu Antipas Lisu hawezi kwenda Kinyume na Mbowe hilo nakuhakikishia
Mchungaji Msigwa anaiba Siri za CCM anampa Tundu Lisu akiamini Lisu anaelekea ACT Wazalendo ππ
Muda si mrefu ataijua rangi ya Lumumba πΌ
Ulale Unono ππ
Mbowe, Lisu na Sugu ni Wamarekani ujueactually,
msigwa kua ccm si muhimu sana,
lakini kubwa zaidi ni lisu kuhakikisha mwisho wa mbowe kisheria chadema unasababishwa na Msigwa, kupitia mbinu niliyoitaja hapo juu...
Mbowe na Tundu Lisu hawakukutana barabarani?Lisu anaenda kumtetea Msigwa kama wakili wake, siyo kama makamu mwenyekiti wa chama
kwahivyo unadhani matatizo haya chadema yamewanganisha zaidi au ndiyo yatawasambaratisha ili wakajipange zaidi kivingine marekani?Mbowe, Lisu na Sugu ni Wamarekani ujue
Huyo mshamba wa Ukingani aliishia kuwa shamba boy tu hapo South Africa na hajaenda tena alifeli π
Wenzake Marekani kama Gongolamboto vile πππππ
Hii Nchi nyie Watoto mambo mengi hamyajui πΌ
Unajua Chadema iliasisiwa Kwa malengo gani? ππkwahivyo unadhani matatizo haya chadema yamewanganisha zaidi au ndiyo yatawasambaratisha ili wakajipange zaidi kivingine marekani?
kwahiyo ukikanyaga marekani tu unakua malaika?
na safari hii Trump yupo anawaandalia shubiri,
sijui sasa watajiita ni wakorea kaskazini labda ndiyo inatisha zaidi
Naona umesahau kuwa lisu juzi alisema chadema siyo mama yake!Mbowe na Tundu Lisu hawakukutana barabarani?
Unadhani kwanini hayati Mwinyi alimtembelea Tundu Lisu Nairobi hospital?
Mtumiage akili ππππππ
nimeishia hapo,Unajua Chadema iliasisiwa Kwa malengo gani? ππ
Chimba history bwashee