Mwenendo wa Tundu Lissu na Lema unatia mashaka CHADEMA hivi sasa

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
6,846
Reaction score
10,288
Wakati Dk Salaa anahama chama, yule dada Pondeza , mlikuwa kila dakika mnaandika katika mitandao kuwakosowa waziwazi.

Lakini hili swala la Kwao kimya, hata kutype tu kwenye account zao zimekuwa ngumu
Hii ndio inampa nguvu Msigwa kuishambulia Chadema.
KUNANINI?
 
Andika majina ya watu kwa usahihi nachitoko wewe
 
Wakati Dk Salaa anahama chama, yule dada Pondeza , mlikuwa kila dakika mnaandika katika mitandao kuwakosowa waziwazi.

Lakini hili swala la Kwao kimya, hata kutype tu kwenye account zao zimekuwa ngumu
Hii ndio inampa nguvu Msigwa kuishambulia Chadema.
KUNANINI?
Kwamba, Lissu na Lema ndo wanampa nguvu Msigwa?

Kumbuka Lissu alipiga kelele zilizopelekea pandikizi Msigwa kukosa kura kwenye uchaguzi.

Waache wafu wawazike wafu wao
 
Wakati Dk Salaa anahama chama, yule dada Pondeza , mlikuwa kila dakika mnaandika katika mitandao kuwakosowa waziwazi.

Lakini hili swala la Kwao kimya, hata kutype tu kwenye account zao zimekuwa ngumu
Hii ndio inampa nguvu Msigwa kuishambulia Chadema.
KUNANINI?
Mwenyekiti wa chadema Taifa anakwenda kukutana na Makamu Mwenyekiti wake Taifa mahakamani kupitia msigwa bila yeye kujua, dah :pedroP:

lakini pia Msigwa atawasilisha ushahidi mujarabu na vielelezo vyote muhimu vulivyochakatwa vyema na kwa umahiri mkubwa na makamu mwenyekiti wa chadema Taifa dah:pedroP:

patamu hapo
 
Tundu Antipas Lisu hawezi kwenda Kinyume na Mbowe hilo nakuhakikishia

Mchungaji Msigwa anaiba Siri za CCM anampa Tundu Lisu akiamini Lisu anaelekea ACT Wazalendo 😂😂

Muda si mrefu ataijua rangi ya Lumumba 🐼

Ulale Unono 😃😃
 
actually,
msigwa kua ccm si muhimu sana,

lakini kubwa zaidi ni lisu kuhakikisha mwisho wa mbowe kisheria chadema unasababishwa na Msigwa, kupitia mbinu niliyoitaja hapo juu... :NoGodNo:
 
Lisu anaenda kumtetea Msigwa kama wakili wake, siyo kama makamu mwenyekiti wa chama
 
Mbowe, Lisu na Sugu ni Wamarekani ujue

Huyo mshamba wa Ukingani aliishia kuwa shamba boy tu hapo South Africa na hajaenda tena alifeli 😂

Wenzake Marekani kama Gongolamboto vile 😂😂😂😂😂

Hii Nchi nyie Watoto mambo mengi hamyajui 🐼
 
Mbowe na Tundu Lisu hawakukutana barabarani?

Unadhani kwanini hayati Mwinyi alimtembelea Tundu Lisu Nairobi hospital?

Mtumiage akili 😂😂😂😂😂😂
 
Mbowe, Lisu na Sugu ni Wamarekani ujue

Huyo mshamba wa Ukingani aliishia kuwa shamba boy tu hapo South Africa na hajaenda tena alifeli 😂

Wenzake Marekani kama Gongolamboto vile 😂😂😂😂😂

Hii Nchi nyie Watoto mambo mengi hamyajui 🐼
kwahivyo unadhani matatizo haya chadema yamewanganisha zaidi au ndiyo yatawasambaratisha ili wakajipange zaidi kivingine marekani? :pedroP:

kwahiyo ukikanyaga marekani tu unakua malaika?:pedroP:

na safari hii Trump yupo anawaandalia shubiri,
sijui sasa watajiita ni wakorea kaskazini labda ndiyo inatisha zaidi:NoGodNo:
 
Unajua Chadema iliasisiwa Kwa malengo gani? 😃😃

Chimba history bwashee
 
nimeishia hapo,
sina swali ingine,

nashukuru kupata mwangaza kwa mbaaali juu ya malengo na madhumuni ya Chadema hasa kulingana na mwenendo wake ulivyo tangu nimeanza kuifahamu 🐒
 
Back
Top Bottom