Kwani kakuambia yeye sio CCM au ni chama cha upinzani? Au ukiwa CCM ndio unatakiwa kuwa msukule wa kushangilia kila kitu?
 
Kwa upumbavu wa ccm inawezekana kabisa

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Makada ambao wanajisifu watoto wa mama ambao wapo Lumumba leo wanaenda mpigia magoti bosi mpya SALIM KIKEKE ambaye ndiye anaenda kuwa Mwenezi wa CCM.

Mnaobaki endeleeni kusema mama anaupiga mwingi kongole sana KIKEKE
Ni maoni na pendekazo langu tu, bi Zuhura Yunus angefaa kwa hiyo post, na Kikeke achukue nafasi ya Zuhura ili kwanza naye ajifunze jinsi ya mfumo unavyofanya kazi.
Kwanini Zuhura?
Zuhura Yunus ni muwakilishi wa raisi (kijinsia) ambaye ataweza kutumia weledi wake katika kuitendea vyema nafasi ya ukatibu mwenezi wa chama, sababu anafanya kazi ya ukaribu na raisi ambaye ni pia mwenyekiti wa chama. Hivyo anafahamu kama chama nini kinatakiwa kifanywe kwa nafasi yake.
 
Kama anafaa zaidi wampe hata uraisi. Maana kama nikiboko ndani ya chama chao wampe cheo cha juu kabisa
 
Anaweza
 
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…