Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Kwani kakuambia yeye sio CCM au ni chama cha upinzani? Au ukiwa CCM ndio unatakiwa kuwa msukule wa kushangilia kila kitu?Sasa ikiwa mtu ambaye amedhulumu watu na kuwatendea mabaya wananchi anateuliwa ninyi sindomnapaswa kufurahia sababu ccm watakuwa wamekosea hivyo itakuwa ni kete nzuri ya nyie kuwashawishi wananchi wasiwachague CCM.
Sasa inakuwaje nyie tena muwapangie CCM watu wachezaji wa kucheza na kuwapangia number hadi sub za kufanya wakati ni wapinzani wenu?