Mwenezi CCM kupatikana 03/04/2024; Nani anafaa kurithi mikoba ya Makonda?
Sasa ikiwa mtu ambaye amedhulumu watu na kuwatendea mabaya wananchi anateuliwa ninyi sindomnapaswa kufurahia sababu ccm watakuwa wamekosea hivyo itakuwa ni kete nzuri ya nyie kuwashawishi wananchi wasiwachague CCM.

Sasa inakuwaje nyie tena muwapangie CCM watu wachezaji wa kucheza na kuwapangia number hadi sub za kufanya wakati ni wapinzani wenu?
Kwani kakuambia yeye sio CCM au ni chama cha upinzani? Au ukiwa CCM ndio unatakiwa kuwa msukule wa kushangilia kila kitu?
 
Hayawi hayawi yamekuwa Kama Paulo Makonda karudishwa pamoja na yote aliyoyafanya Wakati wa UTAWALA KATILI kupata kutokea wa MWENDAZAKE kwanini SABAYA nae ASILAMBE TEUZI?

Ni wazi CCM haijali Mambo mabaya yaliyotendwa na Makada wake kwa WANANCHI bado inawateua kushika nafasi mbalimbali kwenye CHAMA na SERIKALI.

Kutokana na CCM kutokujali ni wazi TUTARAJIE SABAYA pamoja na kuwadhurumu fedha wafanyabiashara huko Arusha naamini kwa UTAWALA HUU Atalamba TEUZI na kuwa KATIBU wa ITIKADI.

Kila la Heri SABAYA
Kwa upumbavu wa ccm inawezekana kabisa

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Makada ambao wanajisifu watoto wa mama ambao wapo Lumumba leo wanaenda mpigia magoti bosi mpya SALIM KIKEKE ambaye ndiye anaenda kuwa Mwenezi wa CCM.

Mnaobaki endeleeni kusema mama anaupiga mwingi kongole sana KIKEKE
Ni maoni na pendekazo langu tu, bi Zuhura Yunus angefaa kwa hiyo post, na Kikeke achukue nafasi ya Zuhura ili kwanza naye ajifunze jinsi ya mfumo unavyofanya kazi.
Kwanini Zuhura?
Zuhura Yunus ni muwakilishi wa raisi (kijinsia) ambaye ataweza kutumia weledi wake katika kuitendea vyema nafasi ya ukatibu mwenezi wa chama, sababu anafanya kazi ya ukaribu na raisi ambaye ni pia mwenyekiti wa chama. Hivyo anafahamu kama chama nini kinatakiwa kifanywe kwa nafasi yake.
 
Kama anafaa zaidi wampe hata uraisi. Maana kama nikiboko ndani ya chama chao wampe cheo cha juu kabisa
 
Hii ndio habari inayotrend kwa sasa.

Makada kadhaa wa CCM wanasema kwa namna siasa za sasa zinavyokwenda bila kupata chawa mwenye wafuasi wengi mitandaoni na mwenye uwezo wa kujitoa ufahamu kumsifia mama Samia huku akiwananga watu wengine wote wenye mwelekeo tofauti na Mama Samia basi hali itaendelea kuwa mbaya na kila mara atatafutwa mtu wa kushika nafasi ya Katibu Mwenezi wa CCM taifa.

Bila kupepesa macho, jina la Mwijaku ndio likapewa nafasi kubwa zaidi.

Hii ni zamu ya chawa kutafuna fursa za taifa kwa kilemba cha CCM.
Anaweza
 
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom