Mwenge: Ni Mwanga Tu Au Kuna Uvumba Fulani Unafukizwa Ili Kupumbaza Watanzania? Is it Justified?.

 
Mungu yupi unayemwabudu
Licha ya kuwepo imani tofauti tofauti, za dini, asili na hata wasioamini chochote, lakini Mungu ni mmoja tuu, Mungu Baba Mwenye Enzi, Muumba wa vitu vyote vinavyoonekana na visivyo onekana.
P
 
Iwapo Mzee Pasko ukipewa kazi ya kuwa Mkimbiza Mwenge kitaifa, utakubali?
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Licha ya kuwepo imani tofauti tofauti, za dini, asili na hata wasioamini chochote, lakini Mungu ni mmoja tuu, Mungu Baba Mwenye Enzi, Muumba wa vitu vyote vinavyoonekana na visivyo onekana.
P
Hii itashindikana idogo
 

Attachments

  • Screenshot_2019-10-13-10-54-41.png
    137.9 KB · Views: 23
Unaweza tu kuwataja kama unawafahamu, mimi siwafahamu bali nafahamu kuwa moto ni ibada ya shetani.
1. Mzee Ramadhan, alizaliwa mwaka 1920,
2. Ally Tarazo(1929),
3. Komwe wa Komwe(1918),
4. Sheihe Yahya Hussein(1925),na
5. Forojo Ganze (1902)
Hao wote walikuwa waongoza misikiti waliohiji mecca
 
1. Mzee Ramadhan, alizaliwa mwaka 1920,
2. Ally Tarazo(1929),
3. Komwe wa Komwe(1918),
4. Sheihe Yahya Hussein(1925),na
5. Forojo Ganze (1902)
Hao wote walikuwa waongoza misikiti waliohiji mecca
Wachawi wengi hujificha nyuma ya pazia la dini. Sishangai.

Ungemtaja mtu kama Sheikh Hassan bin Ameir ningeshangaa sana.

Pia ungeweka na ushahidi wa uyaandikayo isiwe unatafuta uhalali tu wa ibada ya kishetani.
 
Huo mwenge ndy unawaletea mauzauza wabongo vivhwani
Huo unatakiwa ufutiliwe mbali

Ova
 
Hujanielewa Pasco, tatizo si imani hizo tatizo ni 'kuchanganya'
 
Umeleta hoja ngumu kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…