Mwenge: Ni Mwanga Tu Au Kuna Uvumba Fulani Unafukizwa Ili Kupumbaza Watanzania? Is it Justified?.

Sikuwahi kabla kushuhudia mwenge wa Uhuru hasa mkesha, mwaka huu nikasema nijisogeze nione kuna nini.

Tangu Siku ile najikuta nimeanza kuwa MTU wa hovyo hovyo tu.
😅😅😅😅😅😅😅😅
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Kafara la kukimbiza moto limetufanya kitu kibaya sana.. Hivi visiwani mwenge huwa unaenda?
P
 
Hakuna ushirikina mzuri
Ushirikina ni kuanya jambo lolote kwa kutumia shirki, ukitumia shirki kufanya maovu ndio ushirikina mbaya, lakini ukitumia shirk, kuagua, to make money, to be rich, then ni ushirikina mzuri.
p
 
Enzi hizo pascal akiwa na Akili zake timamu
Safi kabisa.
Miaka hiyo alikuwa ni P.

Miaka ya 2020 -2026
Miaka hii P=pumba.
 
Ushirikina ni kuanya jambo lolote kwa kutumia shirki, ukitumia shirki kufanya maovu ndio ushirikina mbaya, lakini ukitumia shirk, kuagua, to make money, to be rich, then ni ushirikina mzuri.
p
Shirki ya aina yoyote ni kufuru na ni ibada ya kishetani.

Haiwezi kuambatana na jema hata kidogo.
 
Mbio za Mwenye zimepitwa na wakati
Mkuu Kamu,@kamundu,kwanza naunga mkono hoja kupitwa na wakati kwa ukimbizaji wa kizamani,hakuna haja kuendelea kutumia mafuta mazito yenye mi moshi yenye sumu ya hydromonoxde,wakimbiza mwenge wengi hufa vifo vya magonjwa ya ajabu ajabu!Tunaweza kutumia methene, butane na hata gesi!

Lakini dhima ya mwenge bado ni very valid
karibu mitaa hii kuhusu Mwenge wa uhuru Mwenge: Ni Mwanga Tu Au Kuna Uvumba Fulani Unafukizwa Ili Kupumbaza Watanzania? Is it Justified?. na Ingekuwa ni Amri Yake, Magufuli Angefutilia Mbali Mbio za Mwenge!, Jee Ni Amri ya Nani?!. na Forojo Ganze (Master), mchawi maarufu aliyeanzisha Mwenge wa Uhuru ila pia kwenye mkesha wa Mwenge, mahali unapolala kuna shamrashamra zake na ile starehe yetu ile... bwerere!. Mapokezi Ya Mwenge Dodoma: Wilaya ya Bahi Yafanya Kufuru!.
P
 
Ibada ya sanamu..
 
 

Attachments

  • IMG-20261009-WA7899.jpg
    422.5 KB · Views: 2
Kafara na Zinduko la Ccm kuwapumbaza Watanzania litafika mwisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…