aikaruwa1983
JF-Expert Member
- May 6, 2011
- 1,398
- 1,504
hapa kuna ukweli 100%.....ukiona tu huna nguvu ya kuihoji serikali, hivi kibiti wataupeleka liniHili ni swali tuu ninajiuliza kuhusu hizi mbio za Mwenge wa Uhuru. Huu Mwenge kinachokimbizwa kweli ni ule mwanga tuu ili kuangazia, au kuna dawa fulani za uvumba zinazonyunyuziwa kama kuchoma ubani, kisha zinatumika na Mwenge kuwafukiza Watanzania ili kuendelea kuwapumbaza ili waendelee....(naomba nisimalizie).
Mkuu sidhani kama ufuska ndio agenda ya Mwenge wa Uhuru, Ufuska unaweza kufanyika hata kwenye Mahoteli kunapofanyika mikutano ya Vyama. Ni ufuska, ni zinaa tu, na hakuna ufuska mdogo wala mkubwa.Mkuu je vilipofika hapa kwetu, kulifanyika ufuska kama ilivyoelezewa hufanyika wakati wa mbio za mwenge wa uhuru?
Walimu wamefanya nini mkuu??Walimu ndio maana wakowako tu
Swissme
Mpaka leo walimu na wanafunzi.Unanikumbusha enzi zile shule ya msingi mnaacha masomo mnapanga msururu barabarani mnaupungia mkono
Mi naonaga bora mtu upungukiwe nguvu za kiume kuliko kupungukiwa akili. jingalao, mwenge sio ndio unaofadhili hiyo miradi, miradi hujengwa kwa ufadhili au michango ya wananchi, ikiishakujengwa (bila mwenge kuhusika) na pengine mingine huwa imeshaanza kazi, ndio sasa kina SAGULAGA wanakuja na tochi kuzindua.Mwenye akili angekuja na Idadi na thamani ya miradi iliyofunguliwa na Mwenge toka tupate uhuru VS Gharama zilizotumiwa na Mwenge.
Hii ndio njia ya kisayansi ya kuujadili mwenge !!
Lakini 3
Mwenge ni alama ya taifa, unapopitishwa unaleta umoja, uzalendo kwa taifa, kuna karahaa fulani mtu unasikia ukiona Mwenge...watu hushangilia na kufurahi.
Wewe ningekuwa karibu na wewe. Akyamama ningtupia kanoti ka Dolar mia! Serriously you are so funny! Ufikirie kuwa Comedian. On a serious not Wewe watazame watu kama akina Mwakyembe! Na Polepole, Polepole akiwa anaongea I literally see demons coming out of his mouth and nostrils au ni mimi tu wajameni!Sikuwahi kabla kushuhudia mwenge wa Uhuru hasa mkesha, mwaka huu nikasema nijisogeze nione kuna nini.
Tangu Siku ile najikuta nimeanza kuwa MTU wa hovyo hovyo tu.
Granta umenifurahisha na hii comment. Utakuwa ulikuwa mtu wa hovyo hovyo kabla ya mwenge ila ulijitambua kuwa wa hovyo baada ya kumulikwa na mwenge usiku kucha.Sikuwahi kabla kushuhudia mwenge wa Uhuru hasa mkesha, mwaka huu nikasema nijisogeze nione kuna nini.
Tangu Siku ile najikuta nimeanza kuwa MTU wa hovyo hovyo tu.
Mwenye akili angekuja na Idadi na thamani ya miradi iliyofunguliwa na Mwenge toka tupate uhuru VS Gharama zilizotumiwa na Mwenge.
Hii ndio njia ya kisayansi ya kuujadili mwenge !!
Ndo maaaana uko hivyoooSikuwahi kabla kushuhudia mwenge wa Uhuru hasa mkesha, mwaka huu nikasema nijisogeze nione kuna nini.
Tangu Siku ile najikuta nimeanza kuwa MTU wa hovyo hovyo tu.
Nani kasema Canada au US wanaruhusu kampuni kudanganya au kuiibia nchi nyingine??Mkuu Paschal naomba nitoke nje ya mada kidogo, hivi ACACIA ni kampuni ya Canada au Marekani? lakini si kuna ubalozi wa Canada na Marekani hapa nchini? swali: kwa nini Mkulu asiwaite hao mabalozi wakaongea badala ya kuharibu mahusiano mazuri?
Kwani bila mwenge miradi haiwezi kufunguliwaMwenye akili angekuja na Idadi na thamani ya miradi iliyofunguliwa na Mwenge toka tupate uhuru VS Gharama zilizotumiwa na Mwenge.
Hii ndio njia ya kisayansi ya kuujadili mwenge !!