Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,930
Soma uelewe nilichoandikaNani kasema Canada au US wanaruhusu kampuni kudanganya au kuiibia nchi nyingine??

Yaleyale tu inabidi nayo tuyashangae kama wanavyoshangaa mwenge wetuWakati tunatafakari hilo, tujiulize pia ile Fimbo ya Malkia na Mwenge wa Olympic ambavyo vyote hutembezwa sehemu mbalimbali Duniani na hapa kwetu vimeshafika mara kibao, je vina uvumba? Au malengo yake ni nini?
Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni. Vyote ni upuuzi na chanzo chake ni iman potofuWakati tunatafakari hilo, tujiulize pia ile Fimbo ya Malkia na Mwenge wa Olympic ambavyo vyote hutembezwa sehemu mbalimbali Duniani na hapa kwetu vimeshafika mara kibao, je vina uvumba? Au malengo yake ni nini?
Mi kwasababu najuaga ni nini,wamenishindwaga kunifanya bwegeSikuwahi kabla kushuhudia mwenge wa Uhuru hasa mkesha, mwaka huu nikasema nijisogeze nione kuna nini.
Tangu Siku ile najikuta nimeanza kuwa MTU wa hovyo hovyo tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]This is very funny...yaani watu wakikatisha mbio na kijingi cha moto mtaani basi tunakuwa wamoja? Mnaonaje kule kwenye migogoro ya wakulima na wafugaji huu mwenge ukimbizwe non stop ili kuchochea maendeleo.
Vitu vingi ambavyo vipo kimkakati huwa ni vigumu kuvielezea na ni vigumu kila kichwa kikaona umuhimu wake.Wanabodi,
Hili ni swali tuu ninajiuliza kuhusu hizi mbio za Mwenge wa Uhuru. Huu Mwenge kinachokimbizwa kweli ni ule mwanga tuu ili kuangazia, au kuna dawa fulani za uvumba zinazonyunyuziwa kama kuchoma ubani, kisha zinatumika na Mwenge kuwafukiza Watanzania ili kuendelea kuwapumbaza ili waendelee....(naomba nisimalizie).
Rais Magufuli alipoingia tuu madarakani na kufuta sherehe za Uhuru kwa hoja kuwa hazi justify the cost for spending so much kwenye sherehe huku hospitali zikikosa madawa na wagonjwa wanalala chini kwa ukosefu wa fedha. Moja kwa moja nilidhania kuwa sasa huu ndio utakuwa mwisho wa kuzungusha hiki kitu kinachoitwa Mwenge wa Uhuru. Lakini hali haikuwa hivyo.
Kwa wenye ufahamu wa ndani kuhusu huu Mwenge, tuelezane ukweli jamani, ni Mwenge tuu wa kumulikiwa au tunafukizwa ubani wa kuwapumbaza Watanzania ili...
Leo Mwenge umezungushwa wilaya yangu ya Kinondoni kupitia Barabara yangu ya Goba Rd. Askari wa kuzuia magari wametandazwa tangu mapema asubuhi. Askari hao hawana zile radio call za mawasiliano kujua msafara wa Mwenge umefika wapi, watu tumesimamishwa nusu saa nzima!.
Msafara ulipopita mimi nilihesabu magari ya serikali tuu yalifika 50!. Does this kweli justify the cost time and resources kuzungusha Mwenge kumulika mchana? , au tunazungushiwa ubani kwa jina la Mwenge?.
Nakumbuka nikiwa mwandishi wa habari kijana, nilipangiwa kuzunguka na Mwenge mkoa fulani, shughuli haswa ni pale mahali ambapo Mwenge unakesha usiku kucha, kinachofanyika katika shamrashara hizo, ni hakuna kulala, na kusema la ukweli, ujana ni maji ya moto, ilikuwa ni hakuna kulala, utu unaondoka kabisa unageuka unyama!. Kuna mambo mtu mzima mwenye akili zake alikuwa hawezi kuyafanya mahali pa wazi kwa kisingizio ni gizani!. Yaa ilikuwa ni ukigusa tuu unaitikiwa anajisongeza pembeni kwenye kigiza giza mnamalizana, name kila kona mnaonana watu wakimalizana!. Hiyo ndio shughuli kuu ya Mwenge wakati wa usiku enzi hizo, maana ile shughuli ya kuzindua miradi iliyokwisha kuwepo siku nyingi na tayari inafanya kazi, inakuwa imeishafanyika mchana.
Kufuatia shughuli hiyo kuu ya usiku ya shamra shamra za Mwenge ya hakuna kulala na ile hali ya ujana, nilitamani kila mbio za Mwenge nipangiwe mimi!. Sasa hivi nimekuwa mtu mzima nikielekea uzeeni, sasa ndio najiuliza na kutafakari hivi niliwezaje kuyafanya yale niliyoyafanya kwenye mbio za Mwenge, au tena mahali pa wazi na makundi ya watu kila mtu akiyafanya hayo hayo na wake?. Halafu ukimaliza na huyu sio ndio umetosheka, akitokea na mwingine unakwenda tena, kule mnaoishana na yule aliyeanza naye akiwa na mtu mwingine!. Sasa ndio najiuliza ilikuwaje au kwenye ule moshi wa Mwenge kuna mavumba yananyunyuziwa ili kufukizwa ukinusa tuu unapumbazika na kuweza kufanya lolote popote? .
Kama ni pombe mbona kila siku tunakunywa na ukitokea uhitaji utatafuta guest ya karibu kujipumzisha lakini kwenye mbio za Mwenge ni kutafuta kona ya giza na makundi ya watu bila aibu yoyote, yaani binadamu tunakuwa kama wanyama!.
Kuna wanaodai mahali Mwenge unapolala huchaguliwa kwa makini, na kudai kuwa mahali hapo hufanyika matambiko fulani ya kimila, na kutolewa kafara!, japo mimi nimeshiriki kuripoti mbio za Mwenge na kulala unapolala, sikuwahi kuona matambiko yoyote, wala kafara zozote zikitolewa, au kwa sababu likiisha ingia giza, mimi mawazo yangu yanahamia kwenye burudani za shamrashamra za usiku, na kuwa bize na yale mengine hadi kutoona matambiko wala kafara!. Wenye ushahidi na hili zaidi ya huyu, Siri ya Mwenge wa Uhuru
jitokezeni.
Kama tuliweza kusitisha very important event ya maadhimisho ya Uhuru, alafu uki determine the cost, the time and the resources allocated kwenye mbio za Mwenge, lazima ujiulize kweli Mwenge huu ni kumulika tuu au kuna kitu kingine muhimu nyuma yake?!.
Mafuta Ya Mwenge na Sumu ya Cabon.
Wakemia huu Mwenge unatumia mafuta gani yenye moshi mweusi mzito hivyo?. Kwa msio jua moshi mweusi ni sumu ya cabon ukivutwa sana husababisha magonjwa ya TB, Bronchitis na Cancer. Jee kuliwahi kufanyika utafiti hao wakimbiza Mwenge hua wanaishi muda gani humu duniani baada ya mbio za Mwenge?.
Kama lengo la Mwenge ni ule mwanga ili umulike, ulipoanzishwa ile 1961 hiyo ndio ilikuwa technology ya wakati huo, leo miaka 50 baadae kuna technology kibao za kuzalisha mwanga tena mkali zaidi ya huo wa mafuta yenye sumu, kwa nini tuendelee kuwauwa Watanzania wenzetu kwa sumu huku kuna lots of alternatives ambazo hazina sumu.
Hivi tungetumia source ya gesi badala ya mafuta ya Mwenge na tungesave kiasi gani?.
Badala ya kutumia hayo mafuta mazito yenye sumu kibao ya carbon, kwa nini tusingetumia methene ambayo ina mwanga na haitoi moshi?, au pia maelekezo ya mafuta hayo ya Mwenge pia ni maelekezo ya mganga wa Mwenge na hakuwahi kuulizwa kama tunaweza kuyabadili?.
Vijana wa UVCCM mliyemo humu, njooni na idadi ya wakimbiza Mwenge toka Uhuru, mtueleze wangapi wako hai hadi leo. Na kama kuna waliotangulia mbele ya haki ni wangapi, sababu za vifo vyao na kama ni maradhi ni maradhi gani na yaliwapata muda gani tangu baada ya mbio za Mwenge?.
Hata hivyo sitashanga kama watatokea watetezi wa kujustify this lavish spending and time wasting kama ilivyotokea mjadala wa umuhimu wa wakuu wa wilaya, ma DC ambao Katiba ya Warioba iliwafutilia mbali na kazi zao kufanywa na Wakurugenzi wa Halmashauri.
Kama Tanzania tunataka maendeleo ya kweli ni lazima tuwe very serious kwa kuachana na kuendekeza matukio stereotype na kumaitains positions ambazo ni redundancies just to maintain a status quo, kwa vile zilikuwepo! .
When are we gonna change? . Yaani kwa Magufuli huyu aliyefuta sherehe za Uhuru lakini ana maintain mbio za Mwenge, huu Mwenge una nini haswa? . Tuelimushane jamani!.
Jumatano njema.
Paskali
Hovyo si kidogoKwahiyo we mkuu kwa sasa ni hovyo?!
Msororo69, Uhuru wa mtu haupo kwenye kijingi cha moto...Uhuru ni hisia ndani ya mtu na uhalisia wa mazingira yanayomzunguka. Leo ndio nimesikia kuwa Mwenge upo kimakakati.Vitu vingi ambavyo vipo kimkakati huwa ni vigumu kuvielezea na ni vigumu kila kichwa kikaona umuhimu wake.
Ujumbe wa uliomo kwenye maelezo ya sababu za kuwashwa kwa mwnge huu kwa mara ya kwanza,ni sala adhimu kwa Watanzania kuwa wanaiadhimisha na kujitathimini kama nchi. Ujumbe wa mwenge hutoa ripoti tosherevu kwa serikali inayosaidia kuleta matumaini pale ambapo hakuna matumaini, upendo palipo na chuki, heshima palipo jaa dharau dharau, na umoja palipo na utengamano. Hayo yote ni mambo muhimu kwa usalama wa taifa letu.
Huku kuwa wamoja si bure ni kwa sababu ya hii sala yetu iayozidi kutuunganisha. Vijana wengi wanaobahatika kushiriki tukio hili kwa ngazi yoyote ile huwa wanapata hisia za kizalendo na kuwa hazina kwa taifa lao. Hapa taifa linakuwa kama limewaweka jandoni vijana wake. Huwa wanashirikiana na kupendana huku wakiimba nyimbo za hamaza za kulipenda taifa lao. Pia hotuba za viongozi husaidia kuamsha ari za wanachi kujikomboa kiuchumi, na kijamii.
Uliyoyafanya enzi hizo hukuanzia kwenye mwenge kutumia fursa hizo. Hata kwenye mbina mbalimbali huko kwenu maarufu kama chagulaga ndiko ulikojifunzia kutumia fursa hizi. Hilo ni athari za malezi yetu si kwasababu ya mwenge.
Miradi inayofunguliwa na mwenge ni ile iliyoibuliwa na wananchi na kuichangia kisha kuongezewa na kumaliziwa na halmashauri zao. Kijiji au mtaa ambao mradi wake ukichaguliwa kuzinduliwa na mwenge hufurahi sana kwa kuwa mradi wake utakamilika kwa wakati.Msororo69, Uhuru wa mtu haupo kwenye kijingi cha moto...Uhuru ni hisia ndani ya mtu na uhalisia wa mazingira yanayomzunguka. Leo ndio nimesikia kuwa Mwenge upo kimakakati.
Mwenge unasaidia kuleta MATUMAINI pasipo MATUMAINI: Hakika ungenipa mfano wa matumaini ambayo Mwenge unaleta ungesaidia wengi sana. Neno tumaini si jepesi kulielewa mpaka ukutane na mtu aliyepoteza tumaini. Nikikupa mfano, yupo yule aliyetafuta uzazi kwa ujana wake wote, hadi sasa yu mtu mzima na ameingia kwenye ule umri ambao hatarajiwi tena kushika ujauzito. Kwake huyu, tumaini kwake ni kusikia kuwa yupo Mungu ambaye alimpa Sara mtoto akiwa Bibikizee. Je kuna ulinganisho wa hali hiyo kuhusu Mwenge?
UPENDO PALIPO NA CHUKI: Hapa tunahitaji mifano na sio ngonjera za kale na mashairi. Nchi hii imejaa migongano na mikwaruzano. Mwenge unapita kila mwaka, nyuma yake ng'ombe wanakula mazao ya mkulima na kadhalika na kadhalika.
Mchelea mwana kulia, hulia mwenyewe. Vijana wa leo sio wa mwaka 47. Hotuba ya kiongozi ni 'hotuba ya kisiasa', hakuna hotuba iletayo ari ya kujikomboa kiuchumi bila kuwapo na mipango. Mwenge haufanyi mipango. Mwenge unazindua yaliyopangwa na kutekelezwa.
Ukitaka kujua kuwa Mwenge hauna mipango, jiulize kwa nini hatukuuona Mwenge ukizindua FLYOVERS za Dar es Salaam au SGR

Vyema kwa ufafanuzi.Miradi inayofunguliwa na mwenge ni ile iliyoibuliwa na wananchi na kuichangia kisha kuongezewa na kumaliziwa na halmashauri zao. Kijiji au mtaa ambao mradi wake ukichaguliwa kuzinduliwa na mwenge hufurahi sana kwa kuwa mradi wake utakamilika kwa wakati.
Mengine niheshimu maoni yako kwakuwa hiyo ndio imani yako na hayo ndio wewe yanakupa matumaini na amani.
Mwenge ni kichocheo cha maendeleo na miradi iliyolala kwa muda mrefu katika maeneo yetu hapa Tanzania, Mwenge unaweza kuhamasisha na kuchochea ukarabati wa barabara ambayo ili sahaulika miaka hata mitano iliyopita.Wanabodi,
Hili ni swali tuu ninajiuliza kuhusu hizi mbio za Mwenge wa Uhuru. Huu Mwenge kinachokimbizwa kweli ni ule mwanga tuu ili kuangazia, au kuna dawa fulani za uvumba zinazonyunyuziwa kama kuchoma ubani, kisha zinatumika na Mwenge kuwafukiza Watanzania ili kuendelea kuwapumbaza ili waendelee....(naomba nisimalizie).
Rais Magufuli alipoingia tuu madarakani na kufuta sherehe za Uhuru kwa hoja kuwa hazi justify the cost for spending so much kwenye sherehe huku hospitali zikikosa madawa na wagonjwa wanalala chini kwa ukosefu wa fedha. Moja kwa moja nilidhania kuwa sasa huu ndio utakuwa mwisho wa kuzungusha hiki kitu kinachoitwa Mwenge wa Uhuru. Lakini hali haikuwa hivyo.
Kwa wenye ufahamu wa ndani kuhusu huu Mwenge, tuelezane ukweli jamani, ni Mwenge tuu wa kumulikiwa au tunafukizwa ubani wa kuwapumbaza Watanzania ili...
Leo Mwenge umezungushwa wilaya yangu ya Kinondoni kupitia Barabara yangu ya Goba Rd. Askari wa kuzuia magari wametandazwa tangu mapema asubuhi. Askari hao hawana zile radio call za mawasiliano kujua msafara wa Mwenge umefika wapi, watu tumesimamishwa nusu saa nzima!.
Msafara ulipopita mimi nilihesabu magari ya serikali tuu yalifika 50!. Does this kweli justify the cost time and resources kuzungusha Mwenge kumulika mchana? , au tunazungushiwa ubani kwa jina la Mwenge?.
Nakumbuka nikiwa mwandishi wa habari kijana, nilipangiwa kuzunguka na Mwenge mkoa fulani, shughuli haswa ni pale mahali ambapo Mwenge unakesha usiku kucha, kinachofanyika katika shamrashara hizo, ni hakuna kulala, na kusema la ukweli, ujana ni maji ya moto, ilikuwa ni hakuna kulala, utu unaondoka kabisa unageuka unyama!. Kuna mambo mtu mzima mwenye akili zake alikuwa hawezi kuyafanya mahali pa wazi kwa kisingizio ni gizani!. Yaa ilikuwa ni ukigusa tuu unaitikiwa anajisongeza pembeni kwenye kigiza giza mnamalizana, name kila kona mnaonana watu wakimalizana!. Hiyo ndio shughuli kuu ya Mwenge wakati wa usiku enzi hizo, maana ile shughuli ya kuzindua miradi iliyokwisha kuwepo siku nyingi na tayari inafanya kazi, inakuwa imeishafanyika mchana.
Kufuatia shughuli hiyo kuu ya usiku ya shamra shamra za Mwenge ya hakuna kulala na ile hali ya ujana, nilitamani kila mbio za Mwenge nipangiwe mimi!. Sasa hivi nimekuwa mtu mzima nikielekea uzeeni, sasa ndio najiuliza na kutafakari hivi niliwezaje kuyafanya yale niliyoyafanya kwenye mbio za Mwenge, au tena mahali pa wazi na makundi ya watu kila mtu akiyafanya hayo hayo na wake?. Halafu ukimaliza na huyu sio ndio umetosheka, akitokea na mwingine unakwenda tena, kule mnaoishana na yule aliyeanza naye akiwa na mtu mwingine!. Sasa ndio najiuliza ilikuwaje au kwenye ule moshi wa Mwenge kuna mavumba yananyunyuziwa ili kufukizwa ukinusa tuu unapumbazika na kuweza kufanya lolote popote? .
Kama ni pombe mbona kila siku tunakunywa na ukitokea uhitaji utatafuta guest ya karibu kujipumzisha lakini kwenye mbio za Mwenge ni kutafuta kona ya giza na makundi ya watu bila aibu yoyote, yaani binadamu tunakuwa kama wanyama!.
Kuna wanaodai mahali Mwenge unapolala huchaguliwa kwa makini, na kudai kuwa mahali hapo hufanyika matambiko fulani ya kimila, na kutolewa kafara!, japo mimi nimeshiriki kuripoti mbio za Mwenge na kulala unapolala, sikuwahi kuona matambiko yoyote, wala kafara zozote zikitolewa, au kwa sababu likiisha ingia giza, mimi mawazo yangu yanahamia kwenye burudani za shamrashamra za usiku, na kuwa bize na yale mengine hadi kutoona matambiko wala kafara!. Wenye ushahidi na hili zaidi ya huyu, Siri ya Mwenge wa Uhuru
jitokezeni.
Kama tuliweza kusitisha very important event ya maadhimisho ya Uhuru, alafu uki determine the cost, the time and the resources allocated kwenye mbio za Mwenge, lazima ujiulize kweli Mwenge huu ni kumulika tuu au kuna kitu kingine muhimu nyuma yake?!.
Mafuta Ya Mwenge na Sumu ya Cabon.
Wakemia huu Mwenge unatumia mafuta gani yenye moshi mweusi mzito hivyo?. Kwa msio jua moshi mweusi ni sumu ya cabon ukivutwa sana husababisha magonjwa ya TB, Bronchitis na Cancer. Jee kuliwahi kufanyika utafiti hao wakimbiza Mwenge hua wanaishi muda gani humu duniani baada ya mbio za Mwenge?.
Kama lengo la Mwenge ni ule mwanga ili umulike, ulipoanzishwa ile 1961 hiyo ndio ilikuwa technology ya wakati huo, leo miaka 50 baadae kuna technology kibao za kuzalisha mwanga tena mkali zaidi ya huo wa mafuta yenye sumu, kwa nini tuendelee kuwauwa Watanzania wenzetu kwa sumu huku kuna lots of alternatives ambazo hazina sumu.
Hivi tungetumia source ya gesi badala ya mafuta ya Mwenge na tungesave kiasi gani?.
Badala ya kutumia hayo mafuta mazito yenye sumu kibao ya carbon, kwa nini tusingetumia methene ambayo ina mwanga na haitoi moshi?, au pia maelekezo ya mafuta hayo ya Mwenge pia ni maelekezo ya mganga wa Mwenge na hakuwahi kuulizwa kama tunaweza kuyabadili?.
Vijana wa UVCCM mliyemo humu, njooni na idadi ya wakimbiza Mwenge toka Uhuru, mtueleze wangapi wako hai hadi leo. Na kama kuna waliotangulia mbele ya haki ni wangapi, sababu za vifo vyao na kama ni maradhi ni maradhi gani na yaliwapata muda gani tangu baada ya mbio za Mwenge?.
Hata hivyo sitashanga kama watatokea watetezi wa kujustify this lavish spending and time wasting kama ilivyotokea mjadala wa umuhimu wa wakuu wa wilaya, ma DC ambao Katiba ya Warioba iliwafutilia mbali na kazi zao kufanywa na Wakurugenzi wa Halmashauri.
Kama Tanzania tunataka maendeleo ya kweli ni lazima tuwe very serious kwa kuachana na kuendekeza matukio stereotype na kumaitains positions ambazo ni redundancies just to maintain a status quo, kwa vile zilikuwepo! .
When are we gonna change? . Yaani kwa Magufuli huyu aliyefuta sherehe za Uhuru lakini ana maintain mbio za Mwenge, huu Mwenge una nini haswa? . Tuelimushane jamani!.
Jumatano njema.
Paskali
update.
Forojo Ganze (Master), mchawi maarufu aliyeanzisha Mwenge wa Uhuru